MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Futa huo uchafu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any updates?
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! 🔴🌍
Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points 🇪🇬
2. Wydad AC. 175 points 🇲🇦
3. Zamalek SC. 163 points 🇪🇬
4. Pyramids FC. 142.5 points 🇪🇬
5. Al Hilal. 134.25 points 🇸🇩
6. Raja. 127.5 points 🇲🇦
7. Future FC. 125.75 points 🇪🇬
8. Mamelodi 123.5 points 🇿🇦
9. Simba SC. 122 points 🇹🇿
10. FAR Rabat. 114.5 points 🇲🇦
IFFHS
Hahahahahah
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! [emoji837][emoji288]
Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points [emoji1093]
2. Wydad AC. 175 points [emoji1173]
3. Zamalek SC. 163 points [emoji1093]
4. Pyramids FC. 142.5 points [emoji1093]
5. Al Hilal. 134.25 points [emoji1232]
6. Raja. 127.5 points [emoji1173]
7. Future FC. 125.75 points [emoji1093]
8. Mamelodi 123.5 points [emoji1221]
9. Simba SC. 122 points [emoji1241]
10. FAR Rabat. 114.5 points [emoji1173]
IFFHS
Utaenda peponi [emoji123][emoji123] una akili sanaNi suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu na fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.
Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu fainali na kuweka rekodi zaidi.
Hawa ndugu zako huwa wanajiondoa ufahamu wanashirikisha akili zao kidogo sana wanaongozwa na mapenzi zaidiKama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
Kwanini nyie hamnunui? ushirikina uko kwenu zaidi.Yanga wananunua mechi ukiachana na maswala ya ushirikina.
Duh watu wa simba ni hivyo sanaYanga wakitaka wafike huku ni lazima washiriki Ligi ya Mabigwa africa miaka 4 mfululizo na wafike walau nusu fainali. Ni kweli bad club ndogo sana.
Sasa kushiriki cha ndimu tu mwaka huu mdomo kibao.
Ukisikia maisha ni gwaride ndio hii sasaWatakuja kuzikataa hizi takwimu
Dah! Kweli kipato huleta majivuno.Futa huo uchafu hapo
View attachment 2622410
KabisaHawa ndugu zako huwa wanajiondoa ufahamu wanashirikisha akili zao kidogo sana wanaongozwa na mapenzi zaidi
Mkuu unadhani ni akili basi, ukiangalia tu halisia unaona. Timu inavyocheza, mbinu za kocha, kujituma n.kUtaenda peponi [emoji123][emoji123] una akili sana
Mkuu una la kuongeza? Maana muda umethibitisja niliyokuwa nikisemaOna huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Umeshakiona kipimo au bado MkuuBora kwa kutumia kipimo gani mkuu maana zote zilikuwa champions league kwa kutumia kipimo hiki ipi ni bora?