Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

Huko ndo ccm wanakotajirikia .halafu akitokea mtu akatoa huu ujinga KAMA jpm wanasarfocate kwa kuwa hawawezi kuishi kwa jasho Lao
... hakuna kipindi hii nchi imewahi kuchafuka mabango kama kipindi cha jiwe akiimbwa sifa na ibada za kila namna! Media zote zilielekezwa kwake live hadi akinunua kuku wa kitoweo na kula mahindi ya kuchoma barabarani sijui akinunua samaki wa familia yake na kula kwa mama ntilie! Mmesahau hayo mara hii?
 
Mbona una uchungu sana na hela za mabango kwann hyo nguvu usielekeze kwenye kudai mapato na matumizi ya join the chain mkuu....au zile zipigwe tu? Huon Kama mnapalilia ufisadi?
 
Ona Sasa huyu nae. Sasa wewe Yale Mabango yanasaidia Nini?
 
CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA HOVYO.
Hii inaonyesha serikali ya CCM chini ya mama Samia imesha feli na ni mbovu ndio maana inatumia nguvu kubwa na gharama kujitangaza badala ya matendo yake kujiuza.
Bahati mbaya ni kuwa hata kama nia yake (Samia) ni njema katika kutawala lakini timu yake ni mbovu na ya hovyo ambayo ameing'ang'ania huku ikimuangusha.
 
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Hii kitu imetoka kuongelewa muda si mrefu kwenye bus nilimo, kiukweli haiingii akilini serikali ina madeni lukuki, ila inaona bora kuchapisha mabango kuliko kulipa madai ya watumishi, madai ya wazabuni, madai ya wastafu, nk
 
Kichwa umefanya mfuniko wa kichwa. Au sio?

Naomba mfano.
Unaomba mfano wa mfuniko wa kichwa au mfano wa nn, badala ujibu hoja unakuwa mkali..mm nasema mkiruhusu maswali ya papo kwa papo huko kwenye mikutano yenu mtapoteana sana
 
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.

Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.

Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo zinaongezeka kisha unakuta bango la Samia kuuuuuubwaaa, bango Moja Bei yake si chini ya Milioni 20 kwa bei ya machinga.

Unakuta Lissu anampiga za kichwa huku mtaani halafu unakutana na bango la Million 20 akiwa Samia na Lissu, eti wamepatana, nonsense.

Haya Mabango nchi mzima hayana maana yaondolewe. Matumizi mabaya ya pesa. Wakati huu wa kidigitali unahangaikaje na matumizi mabovu ya pesa namna Ile? Tumieni tovuti ya CCM. Kuna deal za watu tuu lazima.

#Watuwemawamefiwa
Mtanuna hadi Mfe yale ya Magufuli kila mahali hamkuyaona
 
CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA HOVYO.
Hii inaonyesha serikali ya CCM chini ya mama Samia imesha feli na ni mbovu ndio maana inatumia nguvu kubwa na gharama kujitangaza badala ya matendo yake kujiuza.
Bahati mbaya ni kuwa hata kama nia yake (Samia) ni njema katika kutawala lakini timu yake ni mbovu na ya hovyo ambayo ameing'ang'ania huku ikimuangusha.
Hao wanaotumia chopa je unajua gharama Za kusafr na chopa...Ni Mara elfu kumi Bora hata waweke mabango tu.. kila siku na chopa Ni mil. 700
 
Unajitahidi kuandika ujinga. Unaijua mil 700 kweli?
 
Unaomba mfano wa mfuniko wa kichwa au mfano wa nn, badala ujibu hoja unakuwa mkali..mm nasema mkiruhusu maswali ya papo kwa papo huko kwenye mikutano yenu mtapoteana sana
Haya.. toa mfano wa hiyo Elimu ya Uraia.
 
Hii kitu imetoka kuongelewa muda si mrefu kwenye bus nilimo, kiukweli haiingii akilini serikali ina madeni lukuki, ila inaona bora kuchapisha mabango kuliko kulipa madai ya watumishi, madai ya wazabuni, madai ya wastafu, nk
Ni kweli kabisa.

Kuna mda watu wanatukana Rais kwa sababu ya Mabango yasio na maana.
 
Back
Top Bottom