Unadhani tatizo ilikuwa ni jina au watu? Wewe yatakuja kukutokea siku moja, najua utalia kimyakimya laikini utakuwa umelipwa sawasawa na ukatili wako.Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?
Huyo jamaa si mtu wa kawaida, anashabikia kumwaga damu!Ukumbuke hao SARS sio police force yote, wanaweza kuchukua askari wa kawaida na kuwapa mafunzo maalum, na serikali ndio iliahidi hivyo na kusisitiza kuwa hakuna askari wowote aliyekuwa SARS atakubaliwa kujiunga kwa ajili ya mafunzo ya kikosi kipya. Kilichofanywa ni kama kumpaka punda rangi ili ageuke kuwa pundamilia .
Establishment, Composition and Training of Nigeria Police SWAT to Replace the Disbanded SARS
SARS imefutwa kwa Mdomo ila bado ipo, na Bado ipo Kazini!Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS.
Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency.
Ila naona wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji.
Swali langu au nisichoelewa kama waandamanaji walipewa walichotaka kwa nini maandamano yanaendelea wanachotaka ni nini?
Au ni ile laana yetu ya asili kwa ngozi nyeusi ndio inafanya kazi huko?
Hata Kama.Africa kuna mambo uwa tunafanya ni ya kijinga sana na imekuwa ni asili yetu.
Kwa hiyo hilo jina ndio lilikuwa shida?Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?
Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?
ndio maana tunasema madai yoyote ya haki yakisukumwa kimihemko hayazai matunda yaliyokusudiwa.
hamtaki SARS,imetolewa.mnataka muipangie serikali namna ya kufanya sasa!!!mwisho mtataka na polisi wote watolewe maana hawafuati misingi ya haki.
Wanaaacho maanisha ni kuwa, kama hapa umevunja police yote na umeunda nyingine then inakuwaje afande siro bado awe IGP?
Kwani hiyo serikali ipo kwa ajili ya Nani?
ipo kwa ajiri ya wananchi wake.
lakini haipangiwi cha kufanya na wananchi.
waseme wao sasa wanataka igp awe nani.
kama sheria inaruhusu kupigiwa kura.
Ndio shida ya serikali za Africa bado Zina mambo ya kikaburu
Kwani Hiko wanachokipanga kinataka kufanya kazi kwa niaba ya Nani?
usiseme za kiafrica.ni serikali zote.
si kila jambo linapangwa kwa ajiri ya wananchi.
mengine ni kwa ajiri ya serikali tu.
Hapo I think Kuna watu ambao hawatakiwi kuwa kwenye uongozi
Serikali za kiafrika zimezidi bwana
Hawana njia nyingine ya kumkabili mtu ambae Hana siraha zaid ya kumuua?
Kwani wangewaacha waendelee kuandamana tu ingekuwaje?
Dina maandamano yasiokuwa na kikomo ni mapinduzi. Jeshi kazi yake ni kuzuia viashiria vyovyote vya kuipindua serikali.
Wao walitaka watu wa SWAT watoke wapi?
Yani mfano leo ukiivunja FFU unaenda kuwapata wapi watu wa unit mpya ya kuzuia vurugu?