Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

wananchi kwa ujumla wao hawapendi kodi,hawapendi kunyinwa uhuru kwa kiasi chochote kile.

sasa uhuru wowote usio na kiasi hakuna utawala hapo.
Sheria zinaruhusu hayo ambayo wanannchi wanayafanya lakini mtu mmoja kwasababu tu ya ukatili wako unataka uwapige.
Tubu ndugu kabla hasira ya Mungu haijakushukia.
 
hata mussa upo wakati alikiri wazi kuona ugumu kuongoza kundi la watu,mbali na kwamba alikuwa chini ya usimamizi wa Mungu mwenyewe.

hata Mungu hapendi kujaribiwa,tusipende kupima hasira za binaadam wenzetu.

leo,jana,na hata kesho wananchi kule pemba wanakimbia wakiimba wanamtukana sirro,sijui ni haki ipi wanaomba hapo!!!!!
 
Kwanini wanamtukana Siro, umeijua sababu?
Ninachokikataa mimi ni sisi waafrika kuongozana kwa kunyanyasana.
Wewe unaonekana kwasasa umeshika mpini, haujui feelings za walioshika makali.
Nakuombea kwa Mungu siku moja uje uvae viatu vya hao unaoona hawastahili.
 
mpini upi ndugu yangu!!!!mimi bado ni mpambanaji tu.

kuhusu wao wazanzibar kumtukana sirro ni muendelezo wa kutafuta pa kitolea hasira zao tu,wao wanataka wajitegemee ili wapewe misaada,na wanajua hilo halitakaa litokee.
 
Kwani Siro anazuia wazanzibar kujitegemea? Au neno kujitegemea hapa umelitumiaje?
 
sasa wanamtukana kawafanyaje!!!!!
Ulitakiwa ufanye utafiti kabla haujahukumu. Usije ukainua mdomo kulaani kabla haujajua sababu ya hayo. Mi nakushauri ujaribu kusimama katikati na kuangalia watanzania wakitendewa haki maana naamini watu wakitendewa haki hufurahi lakini wakinyimwa haki husononeka na kuugua rohoni.
Huku kuugua kunapozidi sana hakuna matokeo mazuri.
Kama wanannchi kuna jambo hawalitaki basi tukae chini kujadili na kutoa maamuzi ya upendo.
Walakini hakuna ulazima wowote wa kuumiza watu kwasababu yoyote ile.
Tuishini kwa upendo kwa amani na furaha kama binadamu tulioumbwa na Mungu. Tuifurahie nchi yetu pamoja. Mungu atusaidie sana [emoji120]
 
Chanzo cha yote ni ajira tu! Africa ajira ni za kubebana sana, wameona wenzao wameajiriwa na wao wanataka kuonja keki. Viongozi wajifunze kushughulikia Ajira maana kwani debe tupu haliachi kuvuma kamwe!
 
Back
Top Bottom