Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
Kuna wakati niliwashauri yanga wanunue maeneo Kiluvyia kwa Sumaye kwa ajili ya kujenga uwanja maana ni rahisi kufikika hata kwa mashabiki wanaotoka mikioni, ajabu wao wakaenda kununua Kigamboni. Simba wao huko Goba walau kunafikika kirahisi.