Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
 
Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aminaaa
Amina sijui kafanyaje
Kuna nyimbo nasikiliza nikiwa bar tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…