Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mfanyabiashara mzuri ni yule anayengalia soko linataka nini
Zuchu anacheza na kile fans wanataka.
Muziki biashara mkuu
Zuchu anacheza na kile fans wanataka.
Muziki biashara mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyo32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
Kwa hiyo unatuona watu wa MWANANYAMALA tunasikiliza upuuzi upuuzi huoMashabiki wake wa Mbagala, Manzese, Gongo la mboto, Mwananyamala n.k. si ndiyo nyimbo wanazozipenda hizo.
Acha uongo ana miaka 23 tu32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
Upo sahihi, kwa huu ujinga wa hawa wasanii wanatuharibia sana watoto. Yaani siku hizi hata mtoto wa miaka miwili akisikia tu ujinga wa haniiii masikio yanamsimama.Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey ,sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Sasa hivi kila kitoto kinaimba "honey "Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey ,sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Miaka 30 n mtt mkuu [emoji23][emoji1787]Hata zuchu mwenyewe huoni bado mtoto?!
Ukiprove zuchu ana30 kuna ten ya vocha.Miaka 30 n mtt mkuu [emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm mwenyewe nimeshangaa mtu mwenye miaka 30+ ety n mtt mkuu..32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
Halafu unakuta jitu zima limetulia linaimba 🤣🤣🤣Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika 😁😁😅😅😂😂
Hapo ungetuma na kaclip kidogo ukiwa unavheza huo wimbo ungenoga sana kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Chaji simu.. TANESCOKwani ni nani huyo Zuchu 🤣View attachment 2756370