Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Aise miziki ya sahv [emoji1]
Ukisoma verse unacheka tu

Ova
 
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Hizi nyimbo za kitoto ndio zilimtoa Mr Nice na nyimbo zake za KUKU KAPANDA BAISKELI kama unakumbuka vizuri,ache bint apige hela ati

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom