proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
itakua kuuuma tu hakuna kingineWanauza nini
Zuchu anafanya kama kile anachokifanya comedian wakuitwa kicheche.Zuchu anaimbia mashabiki wake ambao wengi wao ni watu wa hovyo. Akiimba vitu vyenye point hatauza kabisa. Utakuta hata yeye mwenyewe huwa hasikilizi hizo nyimbo zake. Hata muuza gongo utakuta hanywi.
Mwanzo alikuwa hajapigwa mashine akili ilikuwa imetuliaNyimbo za mwanzo kipindi anatoka zilikuwa kali sana alitulia akaandika ila hizi za sasa hivi anavuta shisha huku anaimba mistari ya hovyo.
dula dula dulaMwanzo alikuwa hajapigwa mashine akili ilikuwa imetulia
Sshv kwishaaa
Sister huwa una majibu ya mwendo Kasiππ€£π€£32 ni mtoto au unahadaishwa na ule ukavu kama kuti la mnazi?
Sio watoto tu wanaocheza hizo nyimbo. Hata watu wazima. Nimeona Juma Lokole ana dance wimbo huu tena kwa bidii sana akiwa na yule dada yake, sijui anaitwa Masha.Huyu binti akiachwa aendelee na huu utunzi wake, basi mbele ya safari atatuharibia watoto wetu.
Siku hizi ametoa wimbo wake fulani hivi, ukiwakuta watoto ni kuimba tu na kucheza honey honey!!! π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]Haniiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85] haniiiiiiiNAKUPENTRAAAAA honeyyyy we unanitesa!!!
Honeyyy [emoji860]honeyyy[emoji860]
Honeyyy[emoji860] ahaa honeyyy
Nimecheka kwenye ile vibuno aiseeee!! [emoji1787][emoji1787]
Zuhura anazingua sana!!
wizo kumbe una miaka SELASINI.Wewe si ndo mwenye kadi langu la clinic unaniuliza me tena? [emoji1787][emoji1787]
Kwa kukusaidia kwetu kulikua na kumbi ya starehe, bar na gesti maeneo flani (sitayataja) na hiyo band ya TOT taarabu ilikuwa inakuja kupiga pale kila jmos na huyo zuhura tulikuwa tunacheza naye pindi maza ake Hadija akiwa anatumbuiza nyimbo zake za Y2K
baby nataka chapatikumbe ana nyimbo inaitwa chapati[emoji1787]
kanunue, mbili 500πbaby nataka chapati
Haniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu fundii sana
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey honey
[emoji23][emoji23][emoji23] nina 100kanunue, mbili 500[emoji23]
100 ni kifaa cha kukwabgulia vocha[emoji23][emoji23][emoji23] nina 100
[emoji23][emoji23][emoji23] niongezee 400 bass100 ni kifaa cha kukwabgulia vocha