Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

π’Œπ’˜π’†π’π’Š π’π’‚π’„π’‰π’–π’Œπ’Šπ’‚ π’Žπ’‚π’π’šπ’Šπ’Žπ’ƒπ’ π’šπ’‚π’Œπ’† 𝒁𝒖𝒄𝒉𝒖 𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆 𝒔𝒉𝒖𝒍𝒆 π’Œπ’˜π’‚π’π’›π’‚.
 
Zuchu anaimbia mashabiki wake ambao wengi wao ni watu wa hovyo. Akiimba vitu vyenye point hatauza kabisa. Utakuta hata yeye mwenyewe huwa hasikilizi hizo nyimbo zake. Hata muuza gongo utakuta hanywi.
Zuchu anafanya kama kile anachokifanya comedian wakuitwa kicheche.
Maudhui ni kwa watu wa hovyo
 
Ujue zuchu Mungu kampa vingi ila Nandy nibora kwa nafasi yake… zuchu anaandika mwenyew anajua kuperfom on the stage ila naamini nandy namsanii wangu wakike bora kuwahi kutokea bongo
 
Huyu binti akiachwa aendelee na huu utunzi wake, basi mbele ya safari atatuharibia watoto wetu.

Siku hizi ametoa wimbo wake fulani hivi, ukiwakuta watoto ni kuimba tu na kucheza honey honey!!! 😁
Sio watoto tu wanaocheza hizo nyimbo. Hata watu wazima. Nimeona Juma Lokole ana dance wimbo huu tena kwa bidii sana akiwa na yule dada yake, sijui anaitwa Masha.
 
Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
NAKUPENTRAAAAA honeyyyy we unanitesa!!!
Honeyyy [emoji860]honeyyy[emoji860]
Honeyyy[emoji860] ahaa honeyyy

Nimecheka kwenye ile vibuno aiseeee!! [emoji1787][emoji1787]
Zuhura anazingua sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85] haniiiiiii
 
Wewe si ndo mwenye kadi langu la clinic unaniuliza me tena? [emoji1787][emoji1787]

Kwa kukusaidia kwetu kulikua na kumbi ya starehe, bar na gesti maeneo flani (sitayataja) na hiyo band ya TOT taarabu ilikuwa inakuja kupiga pale kila jmos na huyo zuhura tulikuwa tunacheza naye pindi maza ake Hadija akiwa anatumbuiza nyimbo zake za Y2K
wizo kumbe una miaka SELASINI.
 
Back
Top Bottom