Mbona mzungu kapanda baiskeli ya Mr. Nice hamkupiga kelele hivi?Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Mzungu kapanda baiskeli ndio wimbo gani huo?Mbona mzungu kapanda baiskeli ya Mr. Nice hamkupiga kelele hivi?
kumbe ana nyimbo inaitwa chapatiπ€£Chapati ndio nimeiskia leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] bora hata sukari
Ee [emoji1787][emoji1787] kuna mahali nimekaa hapa nikaiskia haki ya Mungu nimechekakumbe ana nyimbo inaitwa chapati[emoji1787]
naiskiliza hapa eti 'dula anataka kula, dula hataki andazi'π€£Ee [emoji1787][emoji1787] kuna mahali nimekaa hapa nikaiskia haki ya Mungu nimecheka
Duh nyimbo ya nani hii πAnakwambia boloo,,boloo,,"boloo tumsepyare boloo",,.na watu wanacheza wanafurahi..ila muziki bana una maajabu yake nao.
Yaan ni tafrani tupu [emoji23][emoji23]naiskiliza hapa eti 'dula anataka kula, dula hataki andazi'[emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji23]Duh nyimbo ya nani hii [emoji1]
Usanii hasa wa muziki ni nusu ya uchizi π[emoji2][emoji2][emoji23]
Duh siamini aisee[emoji16]NB: Hakuna aliye hack account yangu, nimeandika kutoka moyoni.
Anasikiliza Zuchu kupitia televisheni yake pendwa TBC 1 huku akishushia na mirinda nyeusi na chakula chake pendwa chips mayai ya kisasa rojoKwann unaviskiliza ivo vizuchu mkuu, kuna muda watu mnakua wajinga wajinga
Mwanaume unakuja online una complain kuhusu zuchuNB: Hakuna aliye hack account yangu, nimeandika kutoka moyoni.
Hivi hujui Hawa Wasafi ndo wanauwa bongo fleva... Vile Wana influence Basi wanaimba ujinga na una hit..Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Nakupendaaaa!ππππ........honeyyyyyyWimbo wake wa honey umekaa kitoto sana
Zuchu uyu mtoto anabalaa zito mji aushikiki kisa Zuchu.Duh nyimbo ya nani hii π