Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Mbona mzungu kapanda baiskeli ya Mr. Nice hamkupiga kelele hivi?
 
Yaani Niko nimekaa palee,huyu mtoto kama halishwi sembe na quovo mtaniambia.Hizi sidhani kama ni Akili zao,yaani unaskiza ngoma unajiskia aibu,na wao Wala hawajali nikutoa tu ngoma
 
Kalee kakigoli kanaandikiwaa, hizo ngoma za sukari, na chapati ndio kaandika yeyee. Hizo nyingine sio zakee

Kichwaa chake hakiwezi andika ngoma yenye mashairi matamu kama " UTANIUA" hii ngoma kila nikisikiliza namwona lava lava na mbosso. Hawezi, nakataaa
 
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.

Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.

Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Hivi hujui Hawa Wasafi ndo wanauwa bongo fleva... Vile Wana influence Basi wanaimba ujinga na una hit..

Ni ujinga mtupu.

Alafu Wana uwezo wa kuwaficha wanaokuja juu zaidi yao.
 
Back
Top Bottom