Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Kuna kitu kinaitwa Targeted Audience, ni kitu kilichotengenezwa kwa ajili ya watu maalum.

Mwanaume kwanini usisikilize hip-hop ngumu old school BIG, Pac and M&M etc, unaenda kumsikiliza Zuchu?

Sasa acha umama alafu nanda kacheck hii ngoma kali Hypnotise by BIG himself beat, rhythm and bars zimekaa kwenye mstari.

Zuchu munchie visichana 15-25, ukiona humuelewi basi bila shaka wewe sio targeted audience. Ni minor that's why anaendelea na anachokifanya.

JF imejaa lame, average, ordinary na watu wazima sababu bila shaka mitandao mikubwa inasema tofauti.
 
Haniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haniii NAKUPENTRRAAAAAAA [emoji23][emoji85][emoji85]

Wizo acha umalayer khaaa!! Ushaanza kumpenda chale au avatar ya Fally imekuchanganya?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wizo nina sate plus mwenzio lishangazi hapa natafuta kibenten [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf wote under 20 ila pic zao wamekomaa km vibibi vya 40+ [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Bora yako wizo akeee, mwenzio nagonga 56 saivii niko sawa na SAMIAA [emoji23][emoji23]

Afu wizo mambo ya vibenten we huogopii, wanafokoa wale watoto jamanii, siwatak tenaa [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Wizo acha umalayer khaaa!! Ushaanza kumpenda chale au avatar ya Fally imekuchanganya?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wizooo Mungu anasimamie jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kyupi inaloa kila muda hawa watoto wananichanganya sana mniombee jaman [emoji23][emoji23]
 
Bora yako wizo akeee, mwenzio nagonga 56 saivii niko sawa na SAMIAA [emoji23][emoji23]

Afu wizo mambo ya vibenten we huogopii, wanafokoa wale watoto jamanii, siwatak tenaa [emoji85][emoji85][emoji85]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko sawa na mama?? Wizo bangi hizo.
Vibenten vilikufanya nini??
 
Back
Top Bottom