mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!
Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.