hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Ni Rais kupitia DPP mbona ipo wazi ,Kwa hiyo ni rais alimwachia na siyo sheria wala ushahidi wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Rais kupitia DPP mbona ipo wazi ,Kwa hiyo ni rais alimwachia na siyo sheria wala ushahidi wowote.
Upumbavu tu unakusumbua,mbona Lipumba aliposema hawatambui wabunge wake amri ilitekelezwa mara moja au kwa vile walikuwa ni UKAWA?Ni jambo la kusikitisha na kuudhi kuona chama chenye umri huo wa CHADEMA kushikilia jambo dogo kama hili la wabunge 19, na kwa sasa hii ni ajenda binafsi ya baadhi ya wana BAWACHA waliokosa nafasi hizi, hii si ajenda ya wananchi wala hata ya chama kabisa..Chama makini lazima kibebe ajenda za wananchi kama kinataka support ya wananchi..kiuhalisia aliyetakiwa kujadiliwa na kuvuliwa uanachama kwanza kabla ya hawa 19 ni yule mbunge mmoja aliyeshinda ubunge Rukwa akakaidi msimamo wa chama chake wa kutotambua matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020 akaenda bungeni kuapa, huyo ndiye walipaswa waanze nae kabla hata ya hawa 19...lakn miongon mwa hao 19 yumo Nusrat aliyekuwa mahabusu kwa muda mrefu, ni BAWACHA wangapi wamewahi kupitia madhila aliyopitia Nusrat? Licha ya hivyo wengi wa hao 19 wana mchango mkubwa sana kwa chama pengine kupita wote ndani ya BAWACHA..ni muhim sana kwa vyama vya upinzani kuonyesha uvumilivu, umakini na ukomavu ndani ya vyama vyao ili wajenge kuaminiwa na wananchi!
CHADEMA wana historia ya kuwa na mabishano ya mara kwa mara kwa nafasi za ubunge viti maalum, kila mmoja anataka apewe nafasi..lkn kibinadamu ni vzr kujifunza kuridhika na kukubali na kupokea mazuri na mabaya, then songa mbele, kama hukupata this time, next time utapata..kuliko kung'ang'ania jambo moja siku zote wakati yapo mambo mengi ya kufanya.
Ushauri mzuri kwa CHADEMA waachane na hii habari ya wabunge 19 BAWACHA waliokosa wasubiri 2025 vinginevyo itakigharimu chama Chao pakubwa sana 2025! Kupanga ni kuchagua..asante.
Let's give them time 2025 is not farKila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!
Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.
Kwamba Rais kupitia DPP aliamuru Mbowe aswekwe ndani kwa kesi ya UGAIDI na Rais huyo huyo kupitia DPP yule yule akaona ni vema kumwachia Mbowe,na siku akipenda atamweka ndani kupitia DPP yule yule kwa sheria na ushahidi wa kughushi ili mradi tu Mbowe akubali kuwa ccm hapo ndipo rais ataacha kutumia sheria chafu na ushahidi wa kughushi kwa vile Mbowe atakuwa ameunga juhudi.Ni Rais kupitia DPP mbona ipo wazi ,
Nini kinakufanya kutukana? Acha kuishi kwa kukariri mambo ya ukawa 2015 unayaletaje 2020 wala huhitaji kuweka reference hiyo ya ukawa hili ni suala la uelewa, si mambo yote lazima yafanane kila yanapotokea.Upumbavu tu unakusumbua,mbona Lipumba aliposema hawatambui wabunge wake amri ilitekelezwa mara moja au kwa vile walikuwa ni UKAWA?
Ndivyo ilivyo, ndio maana mbowe alipoachiwa hata hakwenda kuoga Wala kukata nywele, breki ya kwanza usiku usiku kwa Mama kumshukuruKwamba Rais kupitia DPP aliamuru Mbowe aswekwe ndani kwa kesi ya UGAIDI na Rais huyo huyo kupitia DPP yule yule akaona ni vema kumwachia Mbowe,na siku akipenda atamweka ndani kupitia DPP yule yule kwa sheria na ushahidi wa kughushi ili mradi tu Mbowe akubali kuwa ccm hapo ndipo rais ataacha kutumia sheria chafu na ushahidi wa kughushi kwa vile Mbowe atakuwa ameunga juhudi.
Neno mbuge linatoa tafrisi kubwa sana hasa ya kisiasa na kidiplosia ..Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!
Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.
Miaka yote Upinzan huwa wanapewa favor ya vit vya ubunge, ikitokea CCM wamekasirika ndio kinatokea Kama Cha 2020,Nauliza ni mbunge gani wa chadema aliwahi kwenda bungeni kwa fadhila za rais au spika??
Ukilala unaota ukiamka unaota hongera sana.Miaka yote Upinzan huwa wanapewa favor ya vit vya ubunge, ikitokea CCM wamekasirika ndio kinatokea Kama Cha 2020,
Hata yule Aida kenan mbunge wa nkasi Chadema ,Ni huruma ya CCM,
CCM wakiamua Upinzan hawapati hata kiti kimoja ,
Huu ndio unaitwa ujingaNi jambo la kusikitisha na kuudhi kuona chama chenye umri huo wa CHADEMA kushikilia jambo dogo kama hili la wabunge 19, na kwa sasa hii ni ajenda binafsi ya baadhi ya wana BAWACHA waliokosa nafasi hizi, hii si ajenda ya wananchi wala hata ya chama kabisa..Chama makini lazima kibebe ajenda za wananchi kama kinataka support ya wananchi..kiuhalisia aliyetakiwa kujadiliwa na kuvuliwa uanachama kwanza kabla ya hawa 19 ni yule mbunge mmoja aliyeshinda ubunge Rukwa akakaidi msimamo wa chama chake wa kutotambua matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020 akaenda bungeni kuapa, huyo ndiye walipaswa waanze nae kabla hata ya hawa 19...lakn miongon mwa hao 19 yumo Nusrat aliyekuwa mahabusu kwa muda mrefu, ni BAWACHA wangapi wamewahi kupitia madhila aliyopitia Nusrat? Licha ya hivyo wengi wa hao 19 wana mchango mkubwa sana kwa chama pengine kupita wote ndani ya BAWACHA..ni muhim sana kwa vyama vya upinzani kuonyesha uvumilivu, umakini na ukomavu ndani ya vyama vyao ili wajenge kuaminiwa na wananchi!
CHADEMA wana historia ya kuwa na mabishano ya mara kwa mara kwa nafasi za ubunge viti maalum, kila mmoja anataka apewe nafasi..lkn kibinadamu ni vzr kujifunza kuridhika na kukubali kupokea mazuri na mabaya, then songa mbele, kama hukupata this time, next time utapata..kuliko kung'ang'ania jambo moja siku zote wakati yapo mambo mengi ya kufanya.
Ushauri mzuri kwa CHADEMA waachane na hii habari ya wabunge 19 BAWACHA waliokosa wasubiri 2025 vinginevyo itakigharimu chama Chao pakubwa sana 2025! Kupanga ni kuchagua..asante.
Sasa Rais wa hivyo hata yakimkuta ya Gaddafi au Sadam kuna haja ya kumsikitikia?Kwamba Rais kupitia DPP aliamuru Mbowe aswekwe ndani kwa kesi ya UGAIDI na Rais huyo huyo kupitia DPP yule yule akaona ni vema kumwachia Mbowe,na siku akipenda atamweka ndani kupitia DPP yule yule kwa sheria na ushahidi wa kughushi ili mradi tu Mbowe akubali kuwa ccm hapo ndipo rais ataacha kutumia sheria chafu na ushahidi wa kughushi kwa vile Mbowe atakuwa ameunga juhudi.
Wale wa CUF Walipelekwa mahakama gani??Ni vema ukitusaidia kutuelimisha ni sheria sheria taratibu na kanuni gani zilizo pindishwa kibabe.
Ni fedheha kivipi?.
Kwanini tusiisubiri mahakama?.
P