Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Mauza uza ya waafrika hayawezi kuisha kwasababu hakuna tofauti ya kufikiri na kutenda kati ya mwananchi wa kawaida na kiongozi ,msomi na asiyesoma.Bado tuna safari ndefu sana ili tuishi kama binadamu wanaojitambua.Mambo madogo kama hayo hatuwezi kujisimamia je makubwa ndo tutaweza.Utakuta tunasubiri wazungu waje kutuamulia hatua gani zakuchukua.
Kabisa mkuu. Kuna zezeta moja lilisema ningefanya maamuzi Ila lipo mahakamani. Utafikili waliteuliwa na kwenda mahakamani siku hiyohiyo.Jambo dogo la kuangalia Sheria tu kwenye makalatasi Majitu yanakuwa majinga yanashindwa. Ndiyo uyaambie kuhusu madini ambaya yapo chini ya ardhi na hayaonekani yataweza?. Mazezeta nchi hii yapo kibao uongozini.
 
Na chama cha siasa ambacho hakiheshimu sheria na katiba inayoendesha nchi ni chama cha kipumbavu kabisa kidichofaa kupewa ridhaa ya kuongoza.
Ni aibu kubwa kwa CCM kujipambanua kuwa wako hivyo.
Walishasema wao wanalindwa na dola wala hawahitaji kura yako
 
Ni vema ukitusaidia kutuelimisha ni sheria sheria taratibu na kanuni gani zilizo pindishwa kibabe.

Ni fedheha kivipi?.

Kwanini tusiisubiri mahakama?.
P
Unajua msomi akitoa swali la kipuuzi au hoja ya kijinga anakasirisha sana kuliko swali hilo au hoja hiyo ikitoka kwa mjinga.
Pasco, umepatwa na nini? Ingekuwa enzi za msukuma mwenzako ambazo watu walilazimishwa kuweka akili kabatini tungekuelewa lakini sasa hivi wenye akili hata kidogo wananafasi ya kuzionyesha!
 
Mwanzo nilikuwa overated tuu, ila akili zangu sasa ndio hizi.
P
 
Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.

Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!

Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.
Ilishabariki kitambo kwa vile tu Ilani ya kile chama cha kijani inatawala Tanzania.
 
Ni vema ukitusaidia kutuelimisha ni sheria sheria taratibu na kanuni gani zilizo pindishwa kibabe.

Ni fedheha kivipi?.

Kwanini tusiisubiri mahakama?.
P
Pascal Mayalla
Mbona jambo liko wazi Sana?

Hata ukimuuliza mtoto mdogo anayesoma chekechea, atakwambia kuwa, kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi, hao hawastahili kuwemo Bungeni, hata kwa siku moja zaidi, kwa kuwa chama chao cha Chadema, kimewavua uanachama wao.

Refer to the constitution of URT, article 61(1)(e)
 
Achen wenzenu wale maisha, mbona miaka mingine mlikuwa mnaenda bungeni na matokeo mmeyagomea

Iweje Sasa iwe nongwa kwa wenzenu kwenda bungeni ,kisa nyie mmekosa

Hizi nafas zingeruhusu na wanaume ,Amin nawaambia Heche,Msigwa,lema wangetinga bungeni
Acha upumbavu,ni mbunge gani wa Chadema aliwahi kwenda Bungeni kwa fadhil;a za rais na spika?
 
Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.

Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!

Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.
Naona kama hawajali kufedheheka ki vile!!
 
Ni jambo la kusikitisha na kuudhi kuona chama chenye umri huo wa CHADEMA kushikilia jambo dogo kama hili la wabunge 19, na kwa sasa hii ni ajenda binafsi ya baadhi ya wana BAWACHA waliokosa nafasi hizi, hii si ajenda ya wananchi wala hata ya chama kabisa..Chama makini lazima kibebe ajenda za wananchi kama kinataka support ya wananchi..kiuhalisia aliyetakiwa kujadiliwa na kuvuliwa uanachama kwanza kabla ya hawa 19 ni yule mbunge mmoja aliyeshinda ubunge Rukwa akakaidi msimamo wa chama chake wa kutotambua matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020 akaenda bungeni kuapa, huyo ndiye walipaswa waanze nae kabla hata ya hawa 19...lakn miongon mwa hao 19 yumo Nusrat aliyekuwa mahabusu kwa muda mrefu, ni BAWACHA wangapi wamewahi kupitia madhila aliyopitia Nusrat? Licha ya hivyo wengi wa hao 19 wana mchango mkubwa sana kwa chama pengine kupita wote ndani ya BAWACHA..ni muhim sana kwa vyama vya upinzani kuonyesha uvumilivu, umakini na ukomavu ndani ya vyama vyao ili wajenge kuaminiwa na wananchi!
CHADEMA wana historia ya kuwa na mabishano ya mara kwa mara kwa nafasi za ubunge viti maalum, kila mmoja anataka apewe nafasi..lkn kibinadamu ni vzr kujifunza kuridhika na kukubali kupokea mazuri na mabaya, then songa mbele, kama hukupata this time, next time utapata..kuliko kung'ang'ania jambo moja siku zote wakati yapo mambo mengi ya kufanya.
Ushauri mzuri kwa CHADEMA waachane na hii habari ya wabunge 19 BAWACHA waliokosa wasubiri 2025 vinginevyo itakigharimu chama Chao pakubwa sana 2025! Kupanga ni kuchagua..asante.
 
Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.

Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!

Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki kubariki fedheha hii (maana tayari suala hili limeshatinga mahakamani) na kukosesha heshima na imani ya wananchi juu ya mihimili hii mitatu. Yetu macho.
Kweli jambo hili linaonesha jinsi serikali yetu isivyoaminika.
 
Back
Top Bottom