Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Upumbavu tu unakusumbua,mbona Lipumba aliposema hawatambui wabunge wake amri ilitekelezwa mara moja au kwa vile walikuwa ni UKAWA?
 
Let's give them time 2025 is not far
 
Ni Rais kupitia DPP mbona ipo wazi ,
Kwamba Rais kupitia DPP aliamuru Mbowe aswekwe ndani kwa kesi ya UGAIDI na Rais huyo huyo kupitia DPP yule yule akaona ni vema kumwachia Mbowe,na siku akipenda atamweka ndani kupitia DPP yule yule kwa sheria na ushahidi wa kughushi ili mradi tu Mbowe akubali kuwa ccm hapo ndipo rais ataacha kutumia sheria chafu na ushahidi wa kughushi kwa vile Mbowe atakuwa ameunga juhudi.
 
Upumbavu tu unakusumbua,mbona Lipumba aliposema hawatambui wabunge wake amri ilitekelezwa mara moja au kwa vile walikuwa ni UKAWA?
Nini kinakufanya kutukana? Acha kuishi kwa kukariri mambo ya ukawa 2015 unayaletaje 2020 wala huhitaji kuweka reference hiyo ya ukawa hili ni suala la uelewa, si mambo yote lazima yafanane kila yanapotokea.
 
Ndivyo ilivyo, ndio maana mbowe alipoachiwa hata hakwenda kuoga Wala kukata nywele, breki ya kwanza usiku usiku kwa Mama kumshukuru
 
Neno mbuge linatoa tafrisi kubwa sana hasa ya kisiasa na kidiplosia ..

mbuge: ni mtu anae wakilisha wanachi katika serikali.


Maana halisi ya mbunge pia ni mjumbe ama mtumishi wa wananchi katika sehemu husika..

Mtumishi huyu anaeweza kuteuliwa ama kuchaguliwa kutokana na fingu vya katikaba ama ilani au kanuni au sheria za chama chake..au nchi yake..
Linapukaja swala kama hili lazima tuuchungunguze pande zote mbili.

hapa mahakama iangalie haki za kimsingi kwa kufuata kanuni na sheria za ilani ya hao wabunge kupitia vyama vyao ambavyo haviwatambui.. na si kufuata kanuni za katiba
 
Nauliza ni mbunge gani wa chadema aliwahi kwenda bungeni kwa fadhila za rais au spika??
Miaka yote Upinzan huwa wanapewa favor ya vit vya ubunge, ikitokea CCM wamekasirika ndio kinatokea Kama Cha 2020,

Hata yule Aida kenan mbunge wa nkasi Chadema ,Ni huruma ya CCM,

CCM wakiamua Upinzan hawapati hata kiti kimoja ,
 
Miaka yote Upinzan huwa wanapewa favor ya vit vya ubunge, ikitokea CCM wamekasirika ndio kinatokea Kama Cha 2020,

Hata yule Aida kenan mbunge wa nkasi Chadema ,Ni huruma ya CCM,

CCM wakiamua Upinzan hawapati hata kiti kimoja ,
Ukilala unaota ukiamka unaota hongera sana.
 
Huu ndio unaitwa ujinga
 
Sasa Rais wa hivyo hata yakimkuta ya Gaddafi au Sadam kuna haja ya kumsikitikia?
Ukiwa kiongozi sio kuwa unaruhusa na kuchezea maisha ya wengine upendavyo. Cheo hicho ni dhamana kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…