Pre GE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

Pre GE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"

Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,

HOJA YANGU,

1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?

2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?

3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?

4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?

5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?

NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Kweli tupu
 
Lissu ni Mropokaji na wafuasi wake ni waropokaji. Mbowe anawajua wapiga kura sio wa mitandaoni. Anajua namna ya kuwafikia na kuwaomba kura bila kupiga kelele!
 
Alafu team Mbowe wameisha jikatia tamaa mda mrefu sana , wamebaki lissu ashindi , kama mmekula pesa za mbowe kumsaidia kushinda , rudisha
 
Mikoa mingapi imesema?

Mbowe anashughulika na wapiga kura huku Lissu akishughulika na mashabiki.

Kwani Mbowe angeamua kualika wa watu waseme si tungechanganyikiwa tumsikilize nani?. Wakuu wa Kanda na Mikoa wote wanamtaka Mbowe. Wewe huogopi?
wapi hiyo? Muachage kujidangamya
 
mbowe lazima atashinda.
yule atasaidiwa na wale waliomtuma agombee, tayari watu wao Mawakala wengi Sana wameshapenyezwa ndani ya chadema. lisu awe makini, hataamini macho yake asipokuwa mwangalifu.
Timu ya Lissu ipo Makini Sana. Wajichanganye wagawane mbao
 
Mbowe ana mademu wengi BAWACHA, kura zake anazitegemea huko
Wapiga kura wa Bawacha hawazidi 40, na huko bawacha lissu ndo kapata wapiga kura wengi kumshinda mbowe, kwa mujibu wa uchaguzi uliomalizika jana
 
FAM atajiondoa dakika za mwisho na kumuunga mkono TAL.
Mbinu hii kisiasa ni kete ya ushindi kwa wote na inaepusha mpasuko.
 
Back
Top Bottom