Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Lakini mtoa mada amehoji iweje mwanakwaya asilipwe posho kwa huduma yake madhabahuni kama ambavyo makuhani wanalipwa? Nadhani tujikite hapo ili tuelimike woteMambo sio marahisi kama unavyokaa ukafikiria kujiandikia.
Kupitia hii unayoiita dhulma watu wamepona, wamebadili tabia, maisha yamewanyookea na wanajivunia imani zao.
Ujitahidi kuepuka kufakamia jambo lisilokufaidisha wewe yupo mtu anajivunia kuwa kwenye hiyo imani yake.
Mwisho kabisa kila mtu anasaka amani ya moyo wake