Lakini mtoa mada amehoji iweje mwanakwaya asilipwe posho kwa huduma yake madhabahuni kama ambavyo makuhani wanalipwa? Nadhani tujikite hapo ili tuelimike woteMambo sio marahisi kama unavyokaa ukafikiria kujiandikia.
Kupitia hii unayoiita dhulma watu wamepona, wamebadili tabia, maisha yamewanyookea na wanajivunia imani zao.
Ujitahidi kuepuka kufakamia jambo lisilokufaidisha wewe yupo mtu anajivunia kuwa kwenye hiyo imani yake.
Mwisho kabisa kila mtu anasaka amani ya moyo wake
Iwe pisho, mshahara, marupulupu vyote ni pesa yenye lengo la kumuwezesha mwanadamu kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Hayo ni majina tu ya kufumba macho ni sawa na tozo, kodi sijui sitting allowance, per diem, etc...
Mkuu ina maana hujui kuwa kuna mapadri na masista wameajiriwa? Ina maana hujui kuwa kuna baadhi ya wachungaji na wahudumu makanisani wanafanya biashara ama kujisbughulisha na kazi za kuwaingizia kipato?Una uelewa gani kuhusu dini? Kwenye dini hakuna anayelipwa. Kuanzia maaskofu, wachungaji, makatekista, wanakwaya mpaka wahudumu wa kawaida. Hizi huduma hazina malipo bali zina posho (kugharamia maisha) kwa wale ambao wameamua kuzifanya kwa muda wote kama mapadri na maaskofu. Wanakwaya na wahumu wana kazi zao nyingine.
😂😂😂😂 yale yale ya mchungaji akihitaji gari inabidi waumini tuchangie fedha lakini sisi waumini tukihitaji gari basi tunaombewa tuWanakuambia wewe utalipwa na Mungu lakini KAZI uwafanyie wanadamu uliona wapi ujinga wa hivyo.
Alafu watoto wa masikini ndio wanaoumia.
😂😂😂😂 yale yale ya mchungaji akihitaji gari inabidi waumini tuchangie fedha lakini sisi waumini tukihitaji gari basi tunaombewa tu
Una uelewa gani kuhusu dini? Kwenye dini hakuna anayelipwa. Kuanzia maaskofu, wachungaji, makatekista, wanakwaya mpaka wahudumu wa kawaida. Hizi huduma hazina malipo bali zina posho (kugharamia maisha) kwa wale ambao wameamua kuzifanya kwa muda wote kama mapadri na maaskofu. Wanakwaya na wahumu wana kazi zao nyingine.
Mambo sio marahisi kama unavyokaa ukafikiria kujiandikia.
Kupitia hii unayoiita dhulma watu wamepona, wamebadili tabia, maisha yamewanyookea na wanajivunia imani zao.
Ujitahidi kuepuka kufakamia jambo lisilokufaidisha wewe yupo mtu anajivunia kuwa kwenye hiyo imani yake.
Mwisho kabisa kila mtu anasaka amani ya moyo wake
Unachanganya madawa mazee. Kujua au hata kuwaona viongozi wa madhabahuni wakifanya wakifanya biashara HAIMANIISHI ni halali na ndivyo misingi ya dini inavyosema. Misingi ya dini inakataza hayo. Kuhusu viongozi wa dini kuwa na kazi nyingine za halali, zinazojulikana, hili nalijua sana. Kwa mfano kuna masista wengi tu ni madaktari. Akiwa na kazi ya pembeni na kulipwa hulipwa kutokana na ile kazi na siyo kwa sababu ni sista. Wanakwaya nayo hulipwa posho wanapokuwa kwenye mazingira ya kusathili kulipwa posho eg safari. Lakini wanapokuwa kwenye huduma za kawaida hawawezi kulipw kwa sababu ni huduma ya kujitolea na wengi wana kazi nyingine za halali.Mkuu ina maana hujui kuwa kuna mapadri na masista wameajiriwa? Ina maana hujui kuwa kuna baadhi ya wachungaji na wahudumu makanisani wanafanya biashara ama kujisbughulisha na kazi za kuwaingizia kipato?
Kama utakua hujui useme hapa nikupe mifano hai kabisaaaa yaani isiyo na mawaa. Hakuna sheria ya dini ama dhehebu LOLOTE linalokataza kuhani wake kufanya kazi nyingine ili kujiongezea kipato HAKUNAA na kama dhehenu hilo lipo njoo nalo hapa unieleze linaitwaje na lipo wapi.
Hoja iliyopo mezani toka kwa mtoa mada ni IWEJE WANAKWAYA WASILIPWE POSHO KAMA AMBAVYO MAKUHANI WANALIPWA ILHALI WOTE WANAHUFUMU MADHABAHUNI?
Mwanakwaya hufanya hiyo huduma kama ziada.Lakini mtoa mada amehoji iweje mwanakwaya asilipwe posho kwa huduma yake madhabahuni kama ambavyo makuhani wanalipwa? Nadhani tujikite hapo ili tuelimike wote
Kunukuu vifungu siyo kujua misingi ya dini. Na zaidi unanukuu kitu kinachoonyesha uko very wrong. Kumbe bwana amesema wapate riziki, kitu ambacho kinafanyika. Unajua maana ya riziki? Mbona wanakwaya wanapokuwa na safario hupata huduma eh chakula, usafiri, malazi bure? Hiyo siyo riziki au riziki mpaka iwe fedha?1 Wakorintho 9:13
Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu?
1 Wakorintho 9:14
Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.
Unachanganya madawa mazee. Kujua au hata kuwaona viongozi wa madhabahuni wakifanya wakifanya biashara HAIMANIISHI ni halali na ndivyo misingi ya dini inavyosema. Misingi ya dini inakataza hayo. Kuhusu viongozi wa dini kuwa na kazi nyingine za halali, zinazojulikana, hili nalijua sana. Kwa mfano kuna masista wengi tu ni madaktari. Akiwa na kazi ya pembeni na kulipwa hulipwa kutokana na ile kazi na siyo kwa sababu ni sista. Wanakwaya nayo hulipwa posho wanapokuwa kwenye mazingira ya kusathili kulipwa posho eg safari. Lakini wanapokuwa kwenye huduma za kawaida hawawezi kulipw kwa sababu ni huduma ya kujitolea na wengi wana kazi nyingine za halali.
Kunukuu vifungu siyo kujua misingi ya dini. Na zaidi unanukuu kitu kinachoonyesha uko very wrong. Kumbe bwana amesema wapate riziki, kitu ambacho kinafanyika. Unajua maana ya riziki? Mbona wanakwaya wanapokuwa na safario hupata huduma eh chakula, usafiri, malazi bure? Hiyo siyo riziki au riziki mpaka iwe fedha?
Mwanakwaya hufanya hiyo huduma kama ziada.
Kwa wiki anahudhuria mara 2 kufanya mazoezi kwa nusu saa na muda uliobakia yuko kazini kwake.
Kwa wale ambao wako fulltime kuhudunu hupata posho kwa baadhi ya makanisa
Sio siku ni wikiMara mbili Kwa siku unafikiri mchezo?
Uliwahi kuwa mwanakwaya?
Au shemasi
Au Mzee wa Kanisa?
Mpaka useme ni muda wa ziada?
Kufuata tuu Ethics za uanakwaya inatosha kabisa kumlipa mtu posho Kwa mwezi.
Wanakwaya wanaenda kuimba (kufanya kazi) nje na makwao, wanapaswa kulipwa, hapo hawasafiri bure maana tayari wanazalisha kipato kupitia uimbaji wao.Kunukuu vifungu siyo kujua misingi ya dini. Na zaidi unanukuu kitu kinachoonyesha uko very wrong. Kumbe bwana amesema wapate riziki, kitu ambacho kinafanyika. Unajua maana ya riziki? Mbona wanakwaya wanapokuwa na safario hupata huduma eh chakula, usafiri, malazi bure? Hiyo siyo riziki au riziki mpaka iwe fedha?
Wanakwaya wanaenda kuimba (kufanya kazi) nje na makwao, wanapaswa kulipwa, hapo hawasafiri bure maana tayari wanazalisha kipato kupitia uimbaji wao.
Wanapoenda kurekodi wimbo wanajishonea sare,basi,nyimbo ikisha uzwa warudishieni ghalama zao.
Huko kulala bure sio kweli, wanakwaya wanalazwa kwenye kumbi za makanisa/sebule za waumini wenyeji kwa mafungu ya jinsia...
Acheni udhalilishaji, walipeni posho kuendana na huduma zao.