Ifike mahali Wanakwaya kanisani na wahudumu wa Kanisani Walipwe mishahara Kwa mwezi

Danganya toto "eti kazi ya Mungu " unaacha kazi yako unaenda kuimba, hujui kuwa mda ni pesa?
 
Hao wanakwaya wenyewe wanasenaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…