Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

Mabeyo Moongo ,kipindi cha mazishi chato wakati anahutubia alisema kuna mambo yalitokea ila ataende ikulu kumueleza mwenye(samia).
Hakusema hivyo, alisema kuna maneno Hayati alimdokeza (ujumbe kwa Samia), hivyo ataenda kumueleza ofisini..
 
Mwanzoni niliamini taarifa za kigogo na evarst, saivi tena anakuja mabeyo na stori yake. Hapo ndo nachanganyikiwa, MojA haikai wala mbili.
 
CDF sio mamlaka halali ya kuondoa utata wa nini haswa kilichotokea!. Mabandiko yangu haya mawili Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

Bado yako very valid!.
P
Nimesoma hiyo makala yako.Serikali haikusema ukweli juu ya ugonjwa wa JPM.Lakini kuhusu tarehe Mimi namuamini zaidi Generali kwa sababu asingeweza kuwataja hata viongozi wa dini kama ilikuwa siyo kweli.Hawezi kuwahusisha watu wengi hivyo,kama vile waziri Mkuu,Katibu Mkuu kiongozi,Kadinali Pengo nk,kama anadanganya juu ya tarehe na mtiririko wa matukio ulivyokuwa.Angeacha huo uvumi uliokuwepo uendelee kwa sababu kwa sasa hauna madhara na umeshapoa.
 
LOLOTE LINAWEZEKANA.....
UKWELI NA UONGO VYOTE TUNAISHI NAVYO....
MALAIKA TU NDIO HAWANA UTASHI WAO..
 
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.

Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.

Lakini akina Evaristi Chahali na Kigogo wakajifanya wana taarifa za ndani na nyeti na kutangaza kuwa kifo hicho kilitokea kabla.

Mbaya zaidi Chahali akadai kuwa Zitto Kabwe alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha Mhe. Samia kuapishwa kuwa Rais akidai kuwa kuna baadhi ya viongozi walitaka asiapishwe.

Lakini Generali anaonesha kuwa hakukuwa na changamoto ya namna hiyo. Hata kama ingekuwepo wasingemtafuta Zitto atoe ushauri.
Kitu ambacho sina uhakika ni tarehe halisi aliyofariki JPM. Lakini hata hivyo kitu ambacho nina uhakika nacho ni Mabeyo asingeweza tena kutaja tarehe tofauti na iliyotajwa awali hata kama ndio tarehe ya kweli.
 
Hakuna mahali mambeyo ametaja tarehe zaidi ya mtiririko wa matukio tu.
Amesema kifo kilitokea saa 12 jioni wakaanza kujadili namna ya kumtaarifu Samia,Mke na Mama wa JPM.Wakawaita Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi kwa kuwa walikuwa Dar.Wakahakikisha Mama wa JPM aliyekuwa Chato amepelekewa taarifa na mtu aliyetumwa kwa ndege.Na amesema ndiyo maana tangazo lilitolewa saa Tano usiku kwa sababu ya taarifa hizo zilitakiwa kuwafikia hao watu muhimu.
Maana ya maelezo hayo ni kwamba hiyo tarehe ni Machi 17.
 
Kitu ambacho sina uhakika ni tarehe halisi aliyofariki JPM. Lakini hata hivyo kitu ambacho nina uhakika nacho ni Mabeyo asingeweza tena kutaja tarehe tofauti na iliyotajwa awali hata kama ndio tarehe ya kweli.
Watanzania tuna vipaji vya kuamini porojo badala ya ukweli.
 
Kama wangetaka kuficha basi hayo aliyosema jana asingesema kabisa.
Mkuu unaufahamu Gani kuhusu Clafsied Information na declassfief imformation na Time classfied information?

Unafahamu kila Intel ya Kiserkali ina Expire date?
Unafahamu leo hii Usingejua kuhusu baadhi ya Siri endapo zingekuwa hazina expire date?
Shida Inakuja Japo zina Expire date ila Kuna mipaka zipi ziende Public zipi zibaki private..
 
It means iki Expire inakuwa na uwezo wa kusambaza kwa Raia
wa kawaida
 
Nyepesi kabwela ndio kamuapisha Samia??

Hii ndio naisikia leo.

Kama angekua na uwezo huo naamini angejiapisha kwanza yeye mwenyewe.
 
It means iki Expire inakuwa na uwezo wa kusambaza kwa Raia
wa kawaida
Some of the Info lakini sio zote kuna zingine huwa zinabaki kuwa classfied milele..

Nafikiri Ulimsikia Juzi kati january makamba akizungumza kuhusu Unyonywaji wa haki za binadamu na uxhaguzi kutokuwa wa haki..

Nafikiri Hilo swali ungemuuliza miaka mitatu au minne ilopita angekukatalia na angesifia..

Kwa mfano magufuli aliposimama akasema kuwa kuna kipindi alilishwa sumu!
It was Expired intel hiyo kama ingekuwa ndo muda Muafaka usinge hata kuinusa..

Some of the Intel zina kuwa clasffied kwa watu fulani na watu wengine huwa hawazioni..
Zikiexpire wote waliosehemu hiyo Wanaondolewa lile zuio la kuziona..

Kwa mfano uchunguzi wa kitu fulani..ulitakiwa uwe kati ya TISS DG na Rais hii itakuwa classfied mpaka wasuluhishe uchunguzi na ukikamlila utakuwa declassfied kwa TISS wote lakini bado some info zitazuiwa...
 
U mean kuna baadhi zinaweza Expire ila kwa kikomo fulani so kila mtu ataona hizo taarifa ama kuzisikia
 
Back
Top Bottom