Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kipilimba alisema ameongea na rais ni mzima kumbe ni uongoKinachofanya watu wazushe ni serikali kuficha taarifa... Mfano wakati rais anaumwa unasema rais anaumwa tunaomba privacy...
Sasa kusema rais anapiga kazi na haonekani sio sawa.
Equally saga ya VP Mpango eti kapotea mwezi haonekani ni mwendelezo wa kuficha taarifa
Vitu vingi haviko sawa.Kigogo na Chahali waliona mapema hicho kifo na kutoa taarifa
Mabeyo hata body language yake inamshtaki kana kweli Mwendazake alikufa siku hiyo
Then it is clear kwamba KUNA KITU KIMEFANYIKA kwenye hiki kifo na bado HAWAJASEMAVitu vingi haviko sawa.
Watachukuje ndege kwenda Chato kumtaarifu mama yake halafu washindwe kusafirishia Makamu wake kutoka Tanga tu... Kilometer chini ya 500.
Kama kweli walisema katiba baada ya kifo ilikuwaje wa kakosea siku za maombolezo na kutangaza siku 14 badala ya 21 kama Katiba inavyoelekeza.
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.
Lakini akina Evaristi Chahali na Kigogo wakajifanya wana taarifa za ndani na nyeti na kutangaza kuwa kifo hicho kilitokea kabla.
Mbaya zaidi Chahali akadai kuwa Zitto Kabwe alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha Mhe. Samia kuapishwa kuwa Rais akidai kuwa kuna baadhi ya viongozi walitaka asiapishwe.
Lakini Generali anaonesha kuwa hakukuwa na changamoto ya namna hiyo. Hata kama ingekuwepo wasingemtafuta Zitto atoe ushauri.
Kwahiyo niamini Magufuli yuko ofisini anachapa kazi! Siwezi.mkuu endelea kuwaamini kina Chaali na Kigogo.
na usiweze.Kwahiyo niamini Magufuli yuko ofisini anachapa kazi! Siwezi.
La Zitto huu ni UTOPOLO kabisa na ni mwendawazimu pekee anaweza kuamini hili!Mbaya zaidi Chahali akadai kuwa Zitto Kabwe alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha Mhe. Samia kuapishwa kuwa Rais akidai kuwa kuna baadhi ya viongozi walitaka asiapishwe.
Yaani . Very bad nchi zingine kiongozi akiumwa inatangazwa sisi sijui siri ya nnKipilimba alisema ameongea na rais ni mzima kumbe ni uongo
Hiyo ishu ya muda ni mtambuka, inawezekana mzee aliwekwa kwenye life support machine, ikizimwa kwaheri. Hapo ilikua maaumuzi tu ya afe lini.Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.
Lakini akina Evaristi Chahali na Kigogo wakajifanya wana taarifa za ndani na nyeti na kutangaza kuwa kifo hicho kilitokea kabla.
Mbaya zaidi Chahali akadai kuwa Zitto Kabwe alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha Mhe. Samia kuapishwa kuwa Rais akidai kuwa kuna baadhi ya viongozi walitaka asiapishwe.
Lakini Generali anaonesha kuwa hakukuwa na changamoto ya namna hiyo. Hata kama ingekuwepo wasingemtafuta Zitto atoe ushauri.
Ylimsikiliza na kumuelewa vizuri jombaaaaWatanzania ni wapenda udaku hawapendi shughulisha akili ndio maana hivi sasa kumezuka wadudu wa nguoni!
Kutokuwepo hospitalini mke wake ni sahihi kwa hospitali za kisasa kama ya Mzena.Lakini nadhani alikuwa anaenda kumuona.Kwa kuwa kasema unaamini kuwa kila alichosema ni kweli. Kuna mengine hajayasema.
Mpaka sasa haiingii akilini kwa mkewe kutokuwepo hospital siku nzima.
Huyu mtu naye ni tatizo kama akina Lissu kwa uzushi na uongo.Kwenye hiyo clip amesema mhariri Mkuu wa gazeti la Daily News ni Rais wa nchi.Huo ni uongo.17 March 2024
Katika mahojiano ya CDF mstaafu, Critical thinker anapitia majibu ya mkuu wa majeshi mstaafu general (rtd) Venance Mabeyo ambayo yameibua mengine ambayo wananchi walifichwa, lakini pia zaidi yameibua mengine ambayo hakujibu
View: https://m.youtube.com/watch?v=I-urvkCKP6M
Washaanza kutoka "VICHAKANI" bado mmoja....Wewe mwenyewe ubadilike.acha kuamini maneno ya watu ata kama wako upande unaoupenda.Hayo maelezo ya cdf mstaafu yameongeza maswali kuliko majibu,bora angekaa tu kimya.Kwasababu haiwezekani kiongozi wa nchi awe mahututi hospitalini alafu wasaidizi wake wa karibu wasiwe na taarifa yakuiambia Umma.Tena taarifa yenyewe ilitolewa baada yakuwepo sistofahamu.Ukitumia akili zako vizuri bora nawewe ukae kimya tuuache muda utatoa majibu sahihi kwa wakati wake.
Aache kujidai hapa, sio yeye CDF wala hao wenzie aliyekuwa na uwezo wa kutangaza kwa haraka kifo cha kiongozi wa "MALAIKA"Kwanza hii stori imekuwaje imeletwa leo, 3yrs later?
Any form of intention?
Mkuu, siyo Uzuri wa hospital. Ni situation ilivyokuwa. Labda hawasemi kuwa tatizo lilikuwa ni nini. Inawezekana ilikuwa ni Covid 19. Otherwise, haiwezekani mwenza wako yuko mahututi wanakufa halafu usiende kumuona.Kutokuwepo hospitalini mke wake ni sahihi kwa hospitali za kisasa kama ya Mzena.Lakini nadhani alikuwa anaenda kumuona.
Mimi kabla ya mwaka 2010 nilikuwa nimezoea kulazwa hospitali za kiswahili ambazo lazima mgonjwa auguzwe na Ndugu au mwenza.
Lakini nilipolazwa MOI nikijiandaa kwa operesheni ya kidole gumba cha mkononi nilishangaa.Kwanza nilibishana nao sana waliponiambia natakiwa nilazwe kwa siku kadhaa ndipo nipelekwe chumba cha upasuaji.Nilipolazwa nilishangaa pia kuona natakiwa kuchagua chakula- nikitaka mayai,wali au ugali kuku nk sawa.Halafu hata mke wangu hakutakiwa kuja kulala na Mimi.Nilipomuuliza nesi kuwa nani huwa anawaogesha wagonjwa wasiojiweza akasema ni wauguzi.Nilipotaka kujua huwa anajisikiaje anapoona uchi wa wanaume,akasema alikuwa amezoea kiasi kwamba kila akiona huwa anasahau muda huo huo.
Mchangao mwingine ni pale ilipofika muda wa kwenda thieta.Niliambiwa nikae kwenye kiti cha wagonjwa na kusukumwa na nesi.Nikawa nagoma kwa sababu nilikuwa naweza kutembea.Lakini ilibidi nikae na faili langu likawekwa pembeni yangu.Kabla sijapewa dawa ya usingizi niliulizwa jina langu kamili na daktari kiongozi wa upasuaji na Mimi nikajibu," naamu ndiyo Mimi."
Huyu mtu naye ni tatizo kama akina Lissu kwa uzushi na uongo.Kwenye hiyo clip amesema mhariri Mkuu wa gazeti la Daily News ni Rais wa nchi.Huo ni uongo.
Who Owns Daily NewsKila kitu sasa hivi Tanzania ni mali ya rais, ikiwemo gazeti hili la kila siku la serikali.
KUTOKA MAKTABA :
Mhariri mkuu wa Daily News :
The Guardian
https://www.theguardian.com › oct
Julius Nyerere
17 Oct 1999 — ... Tanzania, he was also editor-in-chief of the state newspaper, the Tanzanian Standard. He had ordained that the newspaper,...
Visheni ya Daily News Tanzania :
dailynews.co.tz
https://dailynews.co.tz › ...
About Us - Daily News
Our aim, according to the First President, the Late Mwalimu Julius Nyerere is to supply readers with all domestic and world news as quickly and as fully as ...