kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Wanaume wa siku hizi, hizi mbanga wanazo kabisa.Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Wanaume wengi watakufa kwa ngomaWanaume wa siku hizi hizi mbanga wanazo kabisa.
Tena wengine sio bodaboda kama secretarybird, mwanaume mwingine anakuokoa katikati ya kundi la wanaume waliokubaka na bado siku 4 au 5 mbele ataomba game tena bila condom.
Wanaume, hizi nyege zenu huwa hamna pa kuzipeleka?
Mimi wa kike mkuu, lakini hata ningekuwa mwanaume nisingewezaHata wewe Ungekuwa ni huyo boda ungefanya hivyo
Heri wewe mkuu, hizi kenge nyingine hazina kinyaa kabisaWTF in deed
I hate sharing, nikijua sufuria hii ilipikia nguruwe, labda nisahau. Siwezi lia chakula nina kichefu chefu hatari
Huyo bibie alimkubalia bwana bodaboda na bwana bodaboda alimkula huyo bibie.Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Wanaume wa siku hizi, hizi mbanga wanazo kabisa.
Tena wengine sio bodaboda kama secretarybird, mwanaume mwingine anakuokoa katikati ya kundi la wanaume waliokubaka na bado siku 4 au 5 mbele ataomba game tena bila condom.
Wanaume, hizi nyege zenu huwa hamna pa kuzipeleka?
Ungeweza tu.. Imagine umepeleka pisi ina bonge la mzigo. Ukishindwa kuomba mechi itakuwa una matatizoMimi wa kike mkuu, lakini hata ningekuwa mwanaume nisingeweza
Siku hizi si nasikia zipo hadi za bei chee, kwanini asijipooze hukoTatizo nyege mbaya sana
Nina kinyaa kweli, nisijue mwanamke alitoka na nani. Nitampunguza vigez vya udhaifu.....Heri wewe mkuu, hizi kenge nyingine hazina kinyaa kabisa