Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Sasa kujaribu bahati yake ni tatizo?

kwani wanaoenda lodge wote wanaolewa na walioenda nao huko lodge?
 

We ndo una Matatizo, kwa hiyo unafikiri sisi ni kama huyo Boda boda?
 
Wanaume tuache hivi hivi.

Siku moja waifu ananionesha meseji ya jamaa mmoja hivi anamtongoza, toka kitambo, jamaa kaanza wife hana ujauzito, mpaka wife ana mimba ya miezi karibia 6 jamaa anazoza tu πŸ€£πŸ˜‚.
Ndio waifu hivi wanaume nyie mkoje, huyu anajua nimeolewa anatongoza tu, haya nina mimba kubwa kama hii bado hakomi, "

Nikacheka tu nikamwambia "ndio wanaume, japo si wote" πŸ€£πŸ˜‚

Ikawa kesi nikaambiwa na mimi nitakuwa hivi hivi"
Nikacheka nikapita hivi πŸ€£πŸ˜‚

We unazungumzia mtu kwenda lodge huenda hajatafunwa labda, watu wanapiga 3some, watu wananunua malaya, wanaona kabisa katoka kubanduliwa nae ananunua huyo huyo, vijana wa hovyo telegram wananunua mwanamke ambae video yake inaonesha anabanduliwa, tena anaweka mwanamke mwenyewe.

Katika dunia hii ambayo bikra ya mku-ndu imekuwa fifte fifte, yaani wanawake 10 basi wa5 wametatuliwa marinda na wa5 wazima na nina wasiwasi sasa hivi ikawa 7 kwa 3...
Unashangaa hayo binti sayuni?

Dunia ishavua kijora hii imebaki na bikini.
 
Wanaume mna balaa sana, mna hitaji maombi ya nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…