Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

si mnapenda boda romantic, unamkumbatia, kwenye boda ukikaa hata hutulii, unabenua tako juu,, nauli hamlipi, mnakopa,,
badoboda endeleeni kukabia juu hasa kwa mademu wasiojielewa,,


boda katest mitambo,
 
Sasa kujaribu bahati yake ni tatizo?

kwani wanaoenda lodge wote wanaolewa na walioenda nao huko lodge?
Kama unaweza kula chakula kilicholiwa na mwenzio, huku unajua kabisa. Unahitaji maombi
 
si mnapenda boda romantic, unamkumbatia, kwenye boda ukikaa hata hutulii, unabenua tako juu,, nauli hamlipi, mnakopa,,
badoboda endeleeni kukabia juu hasa kwa mademu wasiojielewa,,


boda katest mitambo,
Hao wanawake wanaofanya hivyo bila shaka watakuwa na matatizo yao
 
Kazi yetu ni kubalance nature
 
Nimewahi kutuma maombi ya kazi kwenye Ofisi 8 tofauti, lakini niliyoitwa interview ni Ofisi moja tu

Hujaelewa huu mfano, ama niongeze mwingine Mjukuu 🤗

Mwache Kijana ajaribu bahati yake
Babu na wewe unamuunga mkono kabisa kwenye hili?
 
Hakikisha mwanamke ulie nae unamzidi pesa na mbinu za kutafuta pesa yenyewe.. haya mambo mengine sijui elimu,cheo,umaarufu. Ni ziada ila mwanaume kuwa na pesa no excuse
 
Anajua kama ni loose coin, je ulivaaje siku hiyo,

loose coins ni sarafu huwa tunaziacha tukiishiwa tuna zikusanya haa kumbe imefika elfu tano ama tisa nakadharika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…