Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

wanawake siku hizi mnakiuza kama biskuti. Mahusiano gani mnakutana gest, yaani huna kwako na yeye hana kwake?? Na hapo jamaa amekosea wapi? unajifanya huna hadhi ya kutongozwa na bodaboda? utakuta alokununua siku hiyo ni dalali wa vyumba kinyamlewa hukooo. Sipendi sana kuskia mwanamke ametongozwa alaf akajibu ameshushiwa heshima, au ni msagaji?? mnakera kujikuta ni viumbe special. Mnaringia uterezi!!!!!! Nyaaaambaf
 
Pole sana mkuu, inaonekana umeumizwa sana na hili
 
Pole sana mkuu, inaonekana umeumizwa sana na hili
Yaani sio kuumizwa tu, limenitesa mpaka nimeanguka na kuzilai kwa muda. Ndo maana hamuolewi siku hizi, mnaishia kuharibu vizazi tu. Na mtapigwa sana mitungo kwa hivo vitabia. Kataa tu sema sikutaki, au toa dau lako uone kama jamaa anamudu au vipi. Eti tujiheshimu, heshima gani unataka? tupige kono bao mpaka tufe akati vitobo vimejaa road
 
Ndo zao mbona 🤣
 
Sasa kupigwa mtungo hapo kunahusiana na nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…