Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Du
Duhuuuuuuh kumbe hadithi!
 
Wewe kwenda lodge kuliwa ni kujiheshimu?

Kuwa na mahusiano ya wizi wizi hivyo hadi uende lodge ni kujiheshimu?

Kuliwa bila ndoa ni kujiheshimu?

Kusema haujaolewa ila upo kwenye mahusiano ya kiholela ni kujiheshimu?

Shida mliyonayo wanawake wa kisasa ni kwamba mnajifanya mnajitambua sana ila akili zenu sio nzuri na mnaupungufu mkubwa sana wa hekima.

Matendo yenu yanaweka wazi ninyi ni watu mnaojiuza na miili yenu ipo rehani halafu wateja wanapopatikana mnawabagua kwa kuwatazama na kujifanya huyu ananionaje mbona huyo aliyemfuata lodge hajamuona ni wa ajabu?

Unadharau mwanaume sababu ni bodaboda, angekuwa ni mkurugenzi wa taasisi kubwa angeona anakosewa heshima?

Huyo boda boda yupo sahihi kumtongoza huyo rafiki yako na kumuomba mchezo sababu kaona ni mali ya jumuiya inayojiuza kwa mfika dau yoyote.
 
mpaka boda anakutongoza we ni malaya tu,ulikosa bwana wa kukufata,au kujaza mafuta,au taxi ,bolt,bajaj hata uende panda boda buku.
hapo kosa la boda ni nini wakati huyo ni cheap mwanamke tu
 
Hapa wanaume wanzangu wataanza kupondea huyo bodaboda, ila deep down kanjanja.
Huwezi mlaumu bodanoda, sababu na yeye ana hisia na anaruhusiwa kutongoza.
Ni suala la kumkubalia au kumkataa, simple.
Maana sidhani kama kuna mtu hana mtu (wakiwepo ni wachahe), na wengine watafanya kwanza tathmini ndio akujibu kama ana mtu au lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…