Ila ina mwendelezo ambao umeuficha π€π€π€Ni kukiwasha tuu ππππ
Sasa unavosema wanaume tujiheshimu ulikua unamaana gani? una nini cha maana mpaka ukitongozwa na bodaboda unaona kama amekushushia heshima????????Mimi sijamkera mkuu, sidhani kama kumkataa mtu ni kosa
Kuna kijiji nilienda vijana wakaniambia,hata papooch ikitumika na baadaye kusafishwa na maji,huitika ..."mpyaaa...mpyaaa...mpyaaaa"!Kazi ni kwako.Heri wewe mkuu, hizi kenge nyingine hazina kinyaa kabisa
πππsina cha maana, nisamehe kwa hiyo kauli mkuuSasa unavosema wanaume tujiheshimu ulikua unamaana gani? una nini cha maana mpaka ukitongozwa na bodaboda unaona kama amekushushia heshima????????
Amani ya moyo wako ikutawale.Γ Β½ΓΒΈΓ Β½ΓΒΈΓ Β½ΓΒΈsina cha maana, nisamehe kwa hiyo kauli mkuu
Aliyemfuata alikuwa na jina refu zaidi:Kalumekenge.Nimeona umeita waname kenge, huyo ulomfata guest alikua nani? Nungunungu au?
Hasaa! vyakula vyote ni viporo sema vinapashwa tuKama unaweza kula chakula kilicholiwa na mwenzio, huku unajua kabisa. Unahitaji maombi
Mama angu yupo wapi kwanza...π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊIla ina mwendelezo ambao umeuficha π€π€π€
Hii pisi nayo ni kama bwege tu, au inadhani mbususu yake iko na uzima wa milele???? πAliyemfuata alikuwa na jina refu zaidi:Kalumekenge.
Siyo bwege ila anapenda kuchangamsha kwa vibwagizo vyenye changamoto tu.Hii pisi nayo ni kama bwege tu, au inadhani mbususu yake iko na uzima wa milele???? π
Inakichaaa πSiyo bwege ila anapenda kuchangamsha kwa vibwagizo vyenye changamoto tu.
Makasiriko mengi sanaπππComments za humu, alooooh π₯π₯π₯
Yaan hatari tupu, πππMakasiriko mengi sanaπππ
Binadamu wa humu wajuaji sana kwakweliππYaan hatari tupu, πππ
Mi naelewa, ila wanawake karibia wote niliwai kuwa nao hawajawai kubana matumizi.Mkuu sisi wanawake ni watu wa kubana matumizi kama hujajuq
Huyo alikuwa bado hajakuaMi naelewa, ila wanawake karibia wote niliwai kuwa nao hawajawai kubana matumizi.
Kuna mmoja tulikula ada kabisa babaake kampa alipe shule tukaitafuna vizuri tu.
Ngoja nimtafute nimpe marejeshoπ
Kalikua kadogo kweli, ila sasa ana watoto watatu aisee ngoja nimpe hela ya wine kidogo.Huyo alikuwa bado hajakua