Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Nafkiri ni mke wangu zamani tu.πŸ˜†.
Hata yeye anasema njoo unioe tu hata mara 10 nipo nakusubiri.
Sayuni nakwambia tulionana Paris huyu binti kaishia kulia tu.
Namwuliza umekuja kulia😁?
Akanitandika vingumi pale huyo kaondoka.
Swali ikawa "kwanini ulinidanganya"
 
Sayuni nakwambia tulionana Paris huyu binti kaishia kulia tu.
Namwuliza umekuja kulia😁?
Akanitandika vingumi pale huyo kaondoka.
Swali ikawa "kwanini ulinidanganya"
Hujamtendea haki huyo binti, Ila naamini kila kitu kinatokea kwasababu na maisha mengine lazima yaendelee
 
Babu na wewe unamuunga mkono kabisa kwenye hili?
Mwache Kijana ajaribu bahati yake Mjukuu

After all, huenda mkielewana jamaa atakuwa backup Incase mambo yenu na huyo uliyenaye yakienda mrama

Mwaka 47 Kuna Binti alipanda mazao jamii ya ufuta kama zao la biashara

Hata hivyo umbali wa mita 78 hivi alipanda mbaazi kwaajili hiyo hiyo

Bahati mbaya mvua hazikuwa nzuri Mwaka ule hivyo zao la Ufuta likaungua

Bahati nzuri Mbaazi zake zilistawi vizuri na alifanikiwa kuvuna tani nyingi za Mbaazi

Niongeze mfano mwingine Mjukuu ama huu unatosha 😜
 
Huo unatosha Babu, lakini mshika mawili...😁😁
 
Ila wanawake wengi wanashangaa mwanaume anakuwaje na mwanamke mmoja. Sasa haya malalamiko yanatokea wapi tena dada yetu?.
 
Bodaboda wanaongoza kuchukua madada poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…