Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Mwanamke anaejiheshimu hawezi kuwa na muda wa kumsikiliza mtu mgeni kama huyo na tayari nia yake alishaijua, zima batani ya attention&response kama upo na mahusiano.

Sio kila mtu anastahili attention&response yako kwenye maisha, usumbufu mwingine huwa mnauruhusu wenyewe.

Mimi nikichukua namba nikakosa response sihangaiki hata pisi iwe kali vipi. Wengi mnajirahisisha sana mtaliwa na muachwe na kilio.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Hahaha.............haya nasubiri invitation message yako

Nataka niandae kanzu yangu mapema kabisa ili nisikose huo mwaliko 🤗
PM yako si ipo wazi babu? Soon message inakufikia😁😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…