Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Bro, Nusratt hebu na ww jiweke kwenye nafsi ya Kiume uone kama utaweza kuhimili genye zikipanda.

Sometimes is tough sana na sio kama tunajiendekeza.
Huko ni kujiendekeza.
Yaani bodaboda anakufikisha kijiweni Mori, na hapohapo anataka game na nauli juu umlipe.
How comeπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ

Mimi naishi maisha ya jinsia zote, Ke na Me.
Nyege zisiwaendeshe wanaume.
Tena sio boda tu, kuna kundi hili la pili la wauza mabucha ya nyama na magenge.
Alooooo....

Wanaume, mnagongewa sana na wauza magenge na maduka.
 
Kwa sisi watoto wa kiume hapo sijaona kosa la bodaboda, hata huyo mke unayetaka amuoe unayehisi ni mstaarabu mda huo naye yupo site na current mbaba wake. Dunia ilipofikia sasahivi ni kushinda mechi zako tu hakuna ukamilifu wala utimilifu.
Ni kweli hakuna mkamilifu lakini, ni heri usijue kuliko unaona kwa macho yako na bado baadae unaomba show
 
Siyo boda tu wanaume wengi tu wa hivyo wapo hata humu, huwa nashangaa sana yaani mtu hata sura yako haijui ila kwasababu anakuona kwenye nyuzi anakuja kukutongoza PM, je kama anatongoza jini, loh! Wanaume wana ujasiri wa ajabu
Saaaaaana
Yaani ukiwa na profile picture ya kike Jf, ni tiketi ya wanaume kuja Pm.
Ipo siku atashikishwa mtu mjegeje huko Pm.
Muda haujafika tu
 
nyinyi ndio wa kututoa jamani muwe mnatuonea huruma
 
Hivi siku hizi ni lazima kuwe na tags kwenye mada za hapa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…