Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Usichojua sisi wanaume tunawaona wanawake wanaoingia logde ni kama wanajiuza tu.
 
mnamiliki kitu muhimu sana yaani sana acha tu tuitolee pesa walahi msitunyime raha jamani
Ila jamani pussy ipewe heshima yakeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hiki kitu jamani inaongeza ujasiri kichwani kwa mwanamke yeyote.

Sawa mnasemaga kuwa inatisha kwa sura na muonekano, ila ndio hii hii huwa inabeba 75% ya 🧠 wa wanaume πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
kaka unapanda mnazi na mkono mmoja πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ni kweli hakuna mkamilifu lakini, ni heri usijue kuliko unaona kwa macho yako na bado baadae unaomba show
Upo sahihi pia, but Kwa upande wangu Mimi Kipaumbele changu Mimi ni ukweli. Napenda kujua ukweli no matter how hard it is for me to hold, Ni rahisi sana ku deal na mwanamke mkweli atakama anamadhaifu Gani kuliko ambaye sijui vingi kumuhusu.

Kwangu mwanamke Malaya ninayemjua ni Malaya Tangu mwanzo hanipi tabu kabisa kuwanae kuliko anayejifanya mstaarabu alafu nijue ana cheat dah! Naweza nimfanye kitu mbaya sana. Mimi kwangu ni Bora huyo aliyepelekwa guest house kuliko anayeshinda ibadani kumbe ni mshenzi, najua huwez kuelewa nawaza Nini ila nmejitahid sana kueleza. In short Bora Hamsini yakwako kuliko mia uliomshkia mtu.
 
Hii kitu itawamaliza wanaume wengi
 
Punguza wivu mkuu.
Tunatagiana maana wengine hawataki kuonekana kama waruwaru humu ila huko Pm ni vibambala wa kutupwa.
Maninaaaa...
Kuna siku nikaona mdada anataka mwanaume kule kwa uzi wa love connection...
Bana wee si nikajichanganya daaaaah aiseeee..

Humu ndani kuna mafaza hawajiheshimu..
Hawana akili an bora mimi najiita poor brain..

Yule ni faza alafu anajiita jina la kike na kaandika uzi anataka mwanaume kaweka na vigezo..

Naenda nashusha swaga anaanza kunitukana na kutaja viungo vya kike...

Nikamuomba msamaha yakaisha..
Mpaka leo tunapishana tuu ila maisha haya..

Humu ndani anayejitambua sana sana ni vishu na Dennis Roberts... Au vishu ndo huyo huyo dennis japo wanasma dennis ni lamomy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…