Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
- Thread starter
- #21
Na hapo ndipo shida inapoanzia.Tatizo wezi wa CCM watoto wao hawapo huko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo ndipo shida inapoanzia.Tatizo wezi wa CCM watoto wao hawapo huko!
😂😂😂, wale pesa wanatoa wap tukazichkue tupeleke watot shule za maan, hizi zisizo na fensi tuachane nazo mkuuAda ya feza ni kiinua mgongo cha mtumishi mmoja... USISAHAU.
Usinambie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca nimeturn on notification
Feza???? Mmmhhhh!!!! Feza????Ukizungumzia shule nyingi ni kweli uzio hazina ila kuhusu Schools nyingi zina uzio, kwahio jitahidi upeleke mtoto wako kwenye zile schools! Eg. Feza Schools huko hamna trespassing
Hahahaha!!! Tanzania kuna bonge la gape baina ya maskini na matajiri ila utawala hautaki kusikia kuhusu hili.😂😂😂, wale pesa wanatoa wap tukazichkue tupeleke watot shule za maan, hizi zisizo na fensi tuachane nazo mkuu
Utaitwa mchochezi 😂Hahahaha!!! Tanzania kuna bonge la gape baina ya maskini na matajiri ila utawala hautaki kusikia kuhusu hili.
Hahahaha! Inashangaza sana😂😂😂Utaitwa mchochezi 😂
😂😂😂😂aaaiiii waache watoto wajivinjaliNa kudagi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe hujaelewa bwan,,mkiweka fence watoto hawatahudumiwa huduma muhim kwaio n kuanguka tu au hujawah faham ilo😌😌Mkuu kwani fence inasababisha mapepo?
😂😂😂 mkuu nimegundua huna mtoto na kama unaye basi si wa kike, na kama ni wa kike basi hajaanza hata shule. (Ila sidhani kama una mtoto wewe)kumbe hujaelewa bwan,,mkiweka fence watoto hawatahudumiwa huduma muhim kwaio n kuanguka tu au hujawah faham ilo😌😌
tufanye sina ila namim nmesoma ujue 😂😂,,iv ushawah jiulza mbon shule za girls tu hua wanafanya mpango wa visherehe na shule za karibu za boys tu,, unafkir n wajinga😂😂😂 mkuu nimegundua huna mtoto na kama unaye basi si wa kike, na kama ni wa kike basi hajaanza hata shule. (Ila sidhani kama una mtoto wewe)
Visherehe sio vibaya, walau hao ni wanafunzi wenzao, sio manakijiji yanatoka na kuni zao mtaani yanaenda tu bwenini kuwasha moto. Majiko mengine bado mabichi, hayajakauka vizuri.tufanye sina ila namim nmesoma ujue 😂😂,,iv ushawah jiulza mbon shule za girls tu hua wanafanya mpango wa visherehe na shule za karibu za boys tu,, unafkir n wajinga
Ety mabichi shaur ako 😌Visherehe sio vibaya, walau hao ni wanafunzi wenzao, sio manakijiji yanatoka na kuni zao mtaani yanaenda tu bwenini kuwasha moto. Majiko mengine bado mabichi, hayajakauka vizuri.
Ety mabichi shaur ako [emoji18]
Deile motivesheni doziUsinambie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaiiii waache watoto wajivinjali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Deile motivesheni dozi
si jana wametoa twakimu kuwa zaidi ya 60% kipato chetu hakizidi 500,000 sh. za kitanzania kwa mwezi. Au zile sio takwimu za NBS!Utaitwa mchochezi 😂
Na kipato chote kinatumika kulipia kodiiiii.si jana wametoa twakimu kuwa zaidi ya 60% kipato chetu hakizidi 500,000 sh. za kitanzania kwa mwezi. Au zile sio takwimu za NBS!