Mm naona kabudi yupo sawa Kwa elimu yake ya makaratasi na tunayoipata katika vyuo vyetu hakuna na uwezo wa kuthibitisha usalama wa chanjo ila mitishamba ndiyo imewakuza viongozi wengi na rahia wengi km Mimi nagonga bila shida yoyote km nikitmthibutisha maandalizi yake