Ifike wakati Wahubiri dini wamuogope Mungu japo kidogo

Ifike wakati Wahubiri dini wamuogope Mungu japo kidogo

Mr Sir1

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
1,749
Reaction score
7,945
Mtu na akli zake timamu kabisa anaenda kupanga foleni kupewa nguvu za kiume na muhubiri dini.

Hizi dini zinazidi kupoteza maana sababu ya tamaa za wanadamu.
 
Mashoga yanaanzaga hivi hivi. mwanaume mzima unaenda kukumbatiwa upewe nguvu za kiume. Sasa hapo hata akiambiwa abong'oe kuingizwa nguvu zaidi hakatai.
 
Acha wajinga waliwe ukiwapata wajinga wakule wafilisi mengine Mungu atawasaidia
 
Ungemalizia WAHUBIRI WA DINI YA KIKIRSTO
Mana hao jamaa ni MANDEZI yasio hata na AIBU wala chembe ya SONI
kwa kuwadanganya wajingawajinga kama huyo LOFA anayeingizwa NGUVU ZA KIUME
 
Ungemalizia WAHUBIRI WA DINI YA KIKIRSTO
Mana hao jamaa ni MANDEZI yasio hata na AIBU wala chembe ya SONI
kwa kuwadanganya wajingawajinga kama huyo LOFA anayeingizwa NGUVU ZA KIUME
Ni ukweli mchungu.

Nadra kuona waislam wakifanya upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom