Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli).
Sasa ndugu, dk 2 nyingi mara video call, simu muda wote, mara hujibu sms Kwa wakati😳 nyiee, tena bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo (nimesema kidogo kwa sababu tuna majukumu pia hivyo isiwe too much) lakini si mwanaume. Waweza dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.
Haya sasa msije sema sijawaambia.