Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa.Sawa upo nae lakini Kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake.Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi,mawazo yake binafsi na huwez kutaka kilakitu chake ukijue...Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli)

Sasa ndugu,dk 2 nyingi...mara video call...simu muda wote....mara hujibu sms Kwa wakati😳 nyiee,tena Bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo(nimesema kidogo Kwa sababu tuna majukumu pia ivo isiwe too much) lakini si mwanaume...waweza Dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Haya sasa msije sema sijawaambia
Eneliah
 
Nikishahakikisha nimekutia Mimba nakaa pembeni nakuangalia usoni haya kiko wapi?
 
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa.Sawa upo nae lakini Kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake.Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi,mawazo yake binafsi na huwez kutaka kilakitu chake ukijue...Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli)

Sasa ndugu,dk 2 nyingi...mara video call...simu muda wote....mara hujibu sms Kwa wakati😳 nyiee,tena Bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo(nimesema kidogo Kwa sababu tuna majukumu pia ivo isiwe too much) lakini si mwanaume...waweza Dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Haya sasa msije sema sijawaambia
Ukinichunga sana unanipoteza
 
Back
Top Bottom