Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Yaani huyu wangu kama alivyo hivyo yaani.

Anataka tu muda wote niwe namghasi ghasi.

Kuba umri mapenzi ya sekondari na kichuo Chuo ya kuachana nayo. Yanakera sometimes.
Sana
 
Hivi kila muda mnapigiana simu daah hii ngumu saana kwangu.

Ambao hawafanyi kazi ndo wawasiliane kila muda, ila kupeana nafasi vnk muhimu saana.Pengine watu wengi hawajiamini na mahusiano yao ndo maana kila muda simu.
Bravo mkuu
 
Vipi kwa mtu ambaye anakua busy siku zote muda wote, usipomcheki ndiyo basi tena, huyo naye tuendelee kumpa space ama?😌
 
Back
Top Bottom