So special umeme umekuja naanza kukushawishi , huenda umetendwa sana na wewe ulikuwa mwema .
Ila huwezi ishi alone .
Faida za kuolewa ni hizi hapa:-
1. Kuwa na mtu unamtegemea katika kuishi nawe, hutokuwa bored , hutokuwa na mawazo , akili yako kila siku imechangamka , ukitaka mapenzi saa yeyote unapewa , unamtu amabye mnajenga maisha yenu ya sasa na yazamani , unamtu anyekujali, kukupenda , kukusikiliza ,kukishauri, kukuheshimisha unatoka kuitwa dada unaitwa mama , unatoka kuitwa dada unaitwa mke wa mtu , maisha ya ndoa unaongeza familia na wapo tayari katika kukusaidia bado unachakarika kukupata kitu ili mwanao afurahie uwepo , ukiboreka unafamilia yako wanakubembeleza , wanakutoa katika hali ya stress kukuweka katika hali yako ya kawaida,
Hasara yakuwa single ni hizi :-
Unaboreka , huna wakukubusu wakupenda , wakukujali , simu yako tofauti yakazi hakuna wakukuambia i love u sasa huoni utakuwa sio normal, huna wakukutoa stress akili imelala, mapenzi hupewi kazi yako hasira kama saivi .