Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Jamani penzi sio ofisi Hadi mtu awe na vitu vya maana and official vya kukwambia,Mapenzi ni Sanaa Sanaa tu za kunirudisha moyo msiyachukulie serious sana
kwani hamna shughuli za kufanya jamani, sema hili linaweza kua swala mtambuka😂

wakusumbuana wasumbuane ila mimi sipendi,
 
Em tusemni ukweli,ivi mwanaume hakutafuti siku mbili ,akituma labda n kisms kimoja Cha usiku mwema, hajui kutoa ata ela ya vocha ,hajui Wala hajali lolote kuhusu wewe na yupo busy still anasema anakupenda, huo n upendo? Mawasiliano yananguvu mno aisee
Ndio anakupenda, tena huyo ndo anaupendo wa ajabu, anaweza kufa kwa ajili yako huyo.
 
Em tusemni ukweli,ivi mwanaume hakutafuti siku mbili ,akituma labda n kisms kimoja Cha usiku mwema, hajui kutoa ata ela ya vocha ,hajui Wala hajali lolote kuhusu wewe na yupo busy still anasema anakupenda, huo n upendo? Mawasiliano yananguvu mno aisee
Huduma anakupa mama
 
Mimi mawasiliano yakiwa yakusua sua nalala mbele sirudi nyuma,siwezi kuwa kwenye mahusiano halafu bado nikahisi kama nipo peke yangu,wengine tunapenda kero za kupigiwa simu,sms mara kwa mara ndio furaha yetu kwahiyo kila mmoja atafute msalaba wake aubebe mwenyewe
🤣
 
kwani hamna shughuli za kufanya jamani, sema hili linaweza kua swala mtambuka😂

wakusumbuana wasumbuane ila mimi sipendi,
🤣🤣🤣🤣Unaupenda sana mtambuka....swali litakaa hivi kwenye UE "With vivid reference discuss major cross cutting issues affecting youth relationship"ndio unaelezea Haya mambo ya kusumbuana advantage na disadvantage Sasa, sawa mwanafunzi😁
 
Back
Top Bottom