Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Niliwahi kupitia mahusiano anatakq hata ukiwa chooni upokee video call kumbaffu kabisaKabisa mkuu.....watu wanachoka
Ila yale ya kupigiana simu kila saa hapana
Tena video call hizo mi ndo sizitaki kabisa 🤣Jana nimeachika,tume date wiki moja tu,hata hatujakulana,kisa anasema simpendi,tangu tujuane sijawahi kumpigia simu,na jana amepiga sijapokea anasema nipo na mtu,nimpigie video chat..nika mblock
Kiko wapi Cha kujifanya hutaki kufuatiliwa na wakati tayari nishakujaza kitumbo? Haya sema kingineCha kunifuatilia?
Anaesema hivi ni mwanaume au mwanamke?Jana nimeachika,tume date wiki moja tu,hata hatujakulana,kisa anasema simpendi,tangu tujuane sijawahi kumpigia simu,na jana amepiga sijapokea anasema nipo na mtu,nimpigie video chat..nika mblock
Nimenyooka sana, nilimwambia hii sio level yangu pita hivi nami napita hivii🤣Ukaona,ee Cha kufia nn
Ndio hivyo kitumbo kikishajaa hauna ujanja inabidi uwe mpole tu🤣Sawa bhana
Kumpa attention inategemea na muda, mfano mimi nikishaingia job simu naipa attention sana lunch time tofauti na hapo ni kwa mda mchache sana na nakuta nimetafutwa plus malalamikoYaan hufanyi jambo la maana ila kuwa attention na simu yake
mwanamke ndio kaniambia hayo..Anaesema hivi ni mwanaume au mwanamke?