Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 237
- 381
Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya soka zinakua zimetulia mahali pake(Ball Control,Ball Balance,Ball Brain) kusema kweli unaenjoyi
Yanga wakiamua kulitafuta goli unawaona kabisa wanaume jinsi wanavyokuja kwa mifuko inayoeleweka kwa watu wanaolijua boli achana na zile papatupapatu za timu mbovumbovu.Ukijaa kwenye mfumo unakula goli zako tano(5)..sita(6) safi yaani clear goals unaondoka uwanjani umeridhika na dozi..hakuna magoli ya mchongo wala penenga za mchongo kama zile wanazopewa timu nyingine mbovumbovu na waamuzi wao wa bahasha
Hili halipingiki Yanga ndo mabingwa wa nchi na tarehe8 ndani ya dimba la benjamini mkapa inakwenda kutangaza rasmi ubingwa wake wa mara31 wa msimu wa 2024/2025.
MYTAKE:
Utake Yanga bingwa!!
Usitake Yanga bingwa!!
1.Diarra 2.Israel 3.Boka 4.Job 5.Baka 6.Aucho 7.Mzize 8.Duke 9.Dube 10.Ki Aziz 11.Pacome