IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?

Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?

Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu

Hicho chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?

Wapelekwe wakafanyie ufedhuli wao pale Kabul Afghanistan waone kama serikali ya Taliban itawavumilia.
 
Mungu akuhurumie wewe unaesema inaweza ikawa ni mpango wa Mungu mtu kua shoga.
Ndugu, tunachotakiwa kufanya sisi kama binadamu huwa ni kujibidiisha katika malengo yetu, huku tukimuomba Mungu, but pia tunakumbushwa na maneno ya Mungu kua njia za Mungu sio kama za binadamu, kuna mtu anajibiidiisha sana na wala hafanikishi lengo lake, na mwingine wala hajishughulishi na lengo linatimia, sasa kama umejibidiisha kufanya kila njia mtoto wako asikue gay na amekua, what can we call that na ulikua unamlilia Mungu usiku na mchana? Well mimi naamini ni mpango wa Mungu, maybe ni ili maandiko yatimie ama ni ili kutukumbusha binadamu tunakoelekea na tulipoanguka, thats all i can say, lakini kuwaua ndio napinga, uuaji hauwezi leta solution hata siku moja.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Jamaa zetu hapo eagle wing bila shaka mna vitengo maalum vinavyodeal na ustawi wa jamii..

Naamini wataingia kazini katika hili, Ni vyema wale vijana wakawa eliminated one by one in six month program, na within that time kila mmoja katika hao vijana awe kwenye ufuatiliwaji mkali kukusanya data mbali mbali kwenye chuo husila na jamii inayowazunguka, collecting all in chain over 18yrs with silent elimination....
Case study ifanyike chap, where started aka the root, start to research and prepair special plan to shape the community before heading into fire...
Hakika mdau
 
Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?

Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?

Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu

Hicho chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
Wale sio wanafunzi wa ifm kabisa
 
Hapana. Hauwezi kuwa sawa sehemu zenye mikusanyiko ya vijana wengi kwa pamoja kama vyuo na mashuleni na mitaani,labda mtu yuko busy na shughuri zake kila siku,yuko busy na biashara huwezi kumringanisha na hao wa chuo
Mmmmh bado hujajua vizuri. Nwei nakubali hoja yako.
 
Hivi mi nyie mnaoitafuta na kuiangalia hiyo video, mnaohangaika kuioata ili muanzishe nyuzi namna hii. Hamuoni kama ndo mnazidi kuchochea zaidi hiyo video kusambaa zaidi.

Nimeshaona nyuzi zaidi ya 5 humu kuhusu hao madogo ila bado zinazidi kufunguliwa mpya kibao.

Sasa nasemaje nyie mnaofungua hizi nyuzi kwa namna moja ama nyingine ni wahusika wakuu wa haya mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa tusemeje!wanafanya kwa starehe zao!wakileta koneksheni tunaziangalia!anaetaka aseme nimtumie miyee!!!

Kupanga kuchagua wamechagua kuolewa sasa je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na waoaji wapo, tatizo liko wapi?
 
Sio picha zakuangalia. Unajua inahitaji Moyo. Mtu analamba kinyeo halafu akimaliza anambusu mwingine wa tatu ulimi to ulimi. Kibaya zaidi ananyonya mk**du wa mwanamme mwenzie. Stimu gani hiyo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na uliangalia mwanzo mwsho, unafiki huu lol
 
Hao unaowaagiza hayo pia ni humans, na wengine maybe hata ni same na hao vijana (gays) , hii issue is not easy as unaona, trust me, ukisema watu waanzekuuwawa na Tz hii especially Dar utakuta hadi your best friends wako wameuawa utabaki mdomo wazi.

Tatizo watu wamekalili eti gays ni wale wanaovaa kike ama wanajibinua binua kama wanawake NO, get educated more guys kwa hii issue, nimefatilia sana how people discuss about this issue na nimerealize watu hata hawajui how gays are, na bila kujua you cannot control it,

Namuombea kila mtu ambae anachukia asipate mtoto ambae ni gay unless iwe ni kwa mpango wa Mungu but kupanga kuwaua is not a solution, solution ni kufatilia tu mienendo ya watoto wenu, msiwaache wakiwa wapweke, ushoga ni suala pana sana, sio kwamba watoto au watu wanapenda pesa ama maisha mazuri, no, ni psychological issue, na psychological issue huwezi deal nayo kwa njia hizo mnazodiscuss, sjui kumkagua mtoto , mala eti kuwapa kazi ngumu, mala sjui wanakula chips, mala sjui kukataza birthday, yani all people think ni kuwa hao watu wamejitakia.

Think of pombe, ama sigara ama drags, mtu akiwa addicted navyo, unaweza mwambia acha tu na akawacha? Nimeongea yote haya sababu i have a friend ambae i came to find out he is gay but sikuwahi hata siku moja hata kuhisi kua he is gay, na tumesoma wote secondary school ambayo ni bording school, tumelala room moja, even same high school, he was a great man, he is very bright amechukua PGM na alipata very high marks form 6 na kwao wako na pesa na father ake ni mkali na hawadekezi hata kidogo, but accidentally tu akanipa simu yake nitumie (alikua ananiea kabla but sikuwahi waza kumchunguza) nimetumia simu yake then sms ikaingia, nikaifungua accidentally since nilikua natype kitu nikajikuta nimeopen, sms ya mapenzi but profile ya men, and ikabidi niangalie sms za.nyuma nikakuta they are dating for a while now, niliona vitu vingi siwezi hadisia hapa, anadate na mwanaume mwenzake, tena mtu ako na family nzuri, na pesa pia, na ni mfanyakazi shirika kubwa tu la pension (btn NSSF NA PSSSF) I mean si mfanyakzi kawaida , maybe let me call it ni kati ya wadosi, niliduwaa nisijue la kufanya, he had a girlfriend pia, but nilikaa nae chini, tuliongea mengi sana and until today he is my friend, takuja kuandika thread one day about why he is still my friend na niliyojua from that day. Ushoga ni mbaya, na inafedhehesha sana na i pray for you ambae unawatoto wakiume, Mungu akulindie watoto wako, ila akija kua gay kwa namna yoyote, tafadhari usimuue, usimchukie wala usifanye ukatili wa aina yoyote just jua tu ni Mpango wa Mungu sababu nakuhakikishia there is no way utaweza mlinda mtoto wako vile unawaza.

Thanks.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Huyo aloandika huo upupu anajifariji tu,
Akitoka hapo anabinuka vizuri tu,

Mostly of homophobic hua ni Lgbt ambao hawajajikubali, trust me,

So asikuumize kichwa yeye na wenzie, hua tunawapa somo la kujitambua taratiiibu na wao wanakuja kujikubali.
 
Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?

Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?

Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu

Hicho chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
Watoto wapale wengi wamesoma meri meri mbezi beach..
N.B numemaliza sitaki maswali
 
Hao unaowaagiza hayo pia ni humans, na wengine maybe hata ni same na hao vijana (gays) , hii issue is not easy as unaona, trust me, ukisema watu waanzekuuwawa na Tz hii especially Dar utakuta hadi your best friends wako wameuawa utabaki mdomo wazi.

Tatizo watu wamekalili eti gays ni wale wanaovaa kike ama wanajibinua binua kama wanawake NO, get educated more guys kwa hii issue, nimefatilia sana how people discuss about this issue na nimerealize watu hata hawajui how gays are, na bila kujua you cannot control it,

Namuombea kila mtu ambae anachukia asipate mtoto ambae ni gay unless iwe ni kwa mpango wa Mungu but kupanga kuwaua is not a solution, solution ni kufatilia tu mienendo ya watoto wenu, msiwaache wakiwa wapweke, ushoga ni suala pana sana, sio kwamba watoto au watu wanapenda pesa ama maisha mazuri, no, ni psychological issue, na psychological issue huwezi deal nayo kwa njia hizo mnazodiscuss, sjui kumkagua mtoto , mala eti kuwapa kazi ngumu, mala sjui wanakula chips, mala sjui kukataza birthday, yani all people think ni kuwa hao watu wamejitakia.

Think of pombe, ama sigara ama drags, mtu akiwa addicted navyo, unaweza mwambia acha tu na akawacha? Nimeongea yote haya sababu i have a friend ambae i came to find out he is gay but sikuwahi hata siku moja hata kuhisi kua he is gay, na tumesoma wote secondary school ambayo ni bording school, tumelala room moja, even same high school, he was a great man, he is very bright amechukua PGM na alipata very high marks form 6 na kwao wako na pesa na father ake ni mkali na hawadekezi hata kidogo, but accidentally tu akanipa simu yake nitumie (alikua ananiea kabla but sikuwahi waza kumchunguza) nimetumia simu yake then sms ikaingia, nikaifungua accidentally since nilikua natype kitu nikajikuta nimeopen, sms ya mapenzi but profile ya men, and ikabidi niangalie sms za.nyuma nikakuta they are dating for a while now, niliona vitu vingi siwezi hadisia hapa, anadate na mwanaume mwenzake, tena mtu ako na family nzuri, na pesa pia, na ni mfanyakazi shirika kubwa tu la pension (btn NSSF NA PSSSF) I mean si mfanyakzi kawaida , maybe let me call it ni kati ya wadosi, niliduwaa nisijue la kufanya, he had a girlfriend pia, but nilikaa nae chini, tuliongea mengi sana and until today he is my friend, takuja kuandika thread one day about why he is still my friend na niliyojua from that day. Ushoga ni mbaya, na inafedhehesha sana na i pray for you ambae unawatoto wakiume, Mungu akulindie watoto wako, ila akija kua gay kwa namna yoyote, tafadhari usimuue, usimchukie wala usifanye ukatili wa aina yoyote just jua tu ni Mpango wa Mungu sababu nakuhakikishia there is no way utaweza mlinda mtoto wako vile unawaza.

Thanks.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana, umegusa penyewe, [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ukitaka iona nenda twitter search for utopolo au shetani08 utaziona
 
Huyo aloandika huo upupu anajifariji tu,
Akitoka hapo anabinuka vizuri tu,

Mostly of homophobic hua ni Lgbt ambao hawajajikubali, trust me,

So asikuumize kichwa yeye na wenzie, hua tunawapa somo la kujitambua taratiiibu na wao wanakuja kujikubali.
Nilishaligundua hili, kna m1 nlimsaidia san kuepukan na hii hali, now yuko fresh, anajikubali na yko happy now,ana enjoy maisha yake.
 
Sio picha zakuangalia. Unajua inahitaji Moyo. Mtu analamba kinyeo halafu akimaliza anambusu mwingine wa tatu ulimi to ulimi. Kibaya zaidi ananyonya mk**du wa mwanamme mwenzie. Stimu gani hiyo??
itakuwa sio wao, wameeditiwa kama gwajiboy kutoka kwa waigiza porns wa USA.
 
Back
Top Bottom