Iftar ya WCB jana

Hahah mwana ukikaa naye ni stori za wabongo muvi na wabongo fleva tu,yuko vizuri kwenye tantalila sjui mzaramo.
Huyo kijana ukipitia bio aliyoweka IG unaweza cheka lakini naona na ujanja wake wote kashindwa kumfanyia uchawa Mo dewj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…