Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi bila picha ni uzushiYaliyojiri jana Iftar ya WCB Hamisi Mobeto na Wema kukaa meza moja. Forever my wi walicheza na Ray. Wema na Diamond picha ya pamoja picha zinakuja
[emoji23][emoji23]HAMISI mobeto ndio nani?
Hakuna mwenye jina hilo hapoHAMISI mobeto ndio nani?
Aliandika hivo!Hakuna mwenye jina hilo hapo
Typing error!Aliandika hivo!
Nikajua labda kaka yake hamisa maana sijawahi msikia
Uko makini sana mkuu unafaa kuwa maker Wa mitihani ya PHDHAMISI mobeto ndio nani?
Kuna mmoja anaitwa issa azam,muuza simu wa zamani agrey ni mdananda chawa balaaWadananda nao huwa hawachezi mbali kwenye hivi vituView attachment 783855
Ohoooo!!!naona na yeye hakucheza mbali alikaa karibu na dananda wenzakeKuna mmoja anaitwa issa azam,muuza simu wa zamani agrey ni mdananda chawa balaa
Hahah mwana ukikaa naye ni stori za wabongo muvi na wabongo fleva tu,yuko vizuri kwenye tantalila sjui mzaramo.Ohoooo!!!naona na yeye hakucheza mbali alikaa karibu na dananda wenzakeView attachment 783895
Huyo kijana ukipitia bio aliyoweka IG unaweza cheka lakini naona na ujanja wake wote kashindwa kumfanyia uchawa Mo dewjHahah mwana ukikaa naye ni stori za wabongo muvi na wabongo fleva tu,yuko vizuri kwenye tantalila sjui mzaramo.
Mjini kila mtu na fani yake,upambe unalipa sana katika jamii za watu weusi.Huyo kijana ukipitia bio aliyoweka IG unaweza cheka lakini naona na ujanja wake wote kashindwa kumfanyia uchawa Mo dewjView attachment 783931
Hiyo inaitwa Ria....!!!futurisha wasiojiweza!!Hivi hapo wcb walichofanya wanapata maswawabu??