Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena mwambie Nicas Mtei asisahau kuja na Tenzi za rohoni
Lov unajua kuchagua sana! Umejuaje?
Chimbuvu nimempa kamati ila my wife wake sijathubutu,Madame B anaweza kutuletea fujo bure,Filipo wala hajapinga kuhusu nafasi aliyopewa ya ulinzi ina maana amekubali!
Kweli kabisa angalizo zuri maana anaweza kupiga teke keki na vyakula!
yeah bby,coz ni mtata sana, bi dada hashindwi kuhamishia kungfu ukumbini!
MWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB!
KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN!
MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE!
MAJUKUMU:
MAPAMBO: Dena amsi &cacico
CHAKULA: Mamndenyi &Mwali
VINYWAJI: Nduki,Arushaone,Noahism,na Chilli
USAFIRI: Boflo,Nicas Mtei,Kaka kiiza,the secretary na The boss
STAREHE NA UPAPARAZI: Erickb52 na bishanga(kukusanya habari na matukio yatakayojiri)
FLOOR MANAGER: Asprin
flower girls:
- preta
-cielo
-smile
-arabela
-nicole
-paloma
-smile
hawa watakua mbele ya maharusi wakiongozwa na dada wa bi harus FIRST LADY na CHAMINGLADY!
imebidi kupanga mijukumu kabisa maana tuna muda mchache kufikia shughuli yenyewe,vipingamizi vilikua vingi!
KIPIPI utakua na jukuma la kuendesha maharusi!
EXCELLENT,KILITIME,GAZETI,CHARDAMS,CHIMBUVU na MTAMBUZI mtaendesha magari yatakayokuepo ya kubeba wazazi,ndugu,jamaa na marafiki!
mambo mengine kamati watamalizia:
asanteni na karibuni sana!
duh! Wanawake wa siku hizi, maandalizi wanafanya wenyewe, Aluta continua, tukiwezeshwa tunaweza eti!
Eti passion lady umesema floor manager ni nani?MWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB!
KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN!
MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE!
MAJUKUMU:
MAPAMBO: Dena amsi &cacico
CHAKULA: Mamndenyi &Mwali
VINYWAJI: Nduki,Arushaone,Noahism,na Chilli
USAFIRI: Boflo,Nicas Mtei,Kaka kiiza,the secretary na The boss
STAREHE NA UPAPARAZI: Erickb52 na bishanga(kukusanya habari na matukio yatakayojiri)
FLOOR MANAGER: Asprin
flower girls:
- preta
-cielo
-smile
-arabela
-nicole
-paloma
-smile
hawa watakua mbele ya maharusi wakiongozwa na dada wa bi harus FIRST LADY na CHAMINGLADY!
imebidi kupanga mijukumu kabisa maana tuna muda mchache kufikia shughuli yenyewe,vipingamizi vilikua vingi!
KIPIPI utakua na jukuma la kuendesha maharusi!
EXCELLENT,KILITIME,GAZETI,CHARDAMS,CHIMBUVU na MTAMBUZI mtaendesha magari yatakayokuepo ya kubeba wazazi,ndugu,jamaa na marafiki!
mambo mengine kamati watamalizia:
asanteni na karibuni sana!
Eti passion lady umesema floor manager ni nani?
Mr. Lawyer with your wife tu-bii passion lady! Excuse kwa kuchelewa kidogo kutia maguu , kwenye kinachoendelea hapa.
Nevertheless nina imani sijachelewa majukumu!
Hebu nipeni mtiririko wa shughuli ulipo. Nini kiko vipi , na wapi nianze kupa'activisha .[/QUOTEena hara t]
rejea kwny mada husika coz na ww ni mwanakamati, tena ufanye haraka maana umechelewa!