Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

JUKULU

New Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Usiku wa kuamkia jumapili tar 7 april watu wasiojulikana wamechoma moto ofisi ya taaluma hapo shuleni na kuteketeza kabisa kila kitu. Hakuna kilicho okolewa.

Hasara ni kubwa sana zaidi ya mamilioni. Vyeti ya wahitimu form four na form six, vitabu na nyaraka muhimu navyo vyote vimeteketea.

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Wanajiandaa kuwa mahausiboy. Hivi ule mgogoro wa mavazi ulikuwa shule hiyo sio?
 
Mbona hizi hujuma zinazidi kuwa kitu cha kawaida.
 
burn..burn..burn!!!

Inanikumbusha enzi za Sarafina...but very sad mkuu!!!
 
Ona uharibifu huu. Fungua attachment

Usiku wa kuamkia jumapili tar 7 april watu wasiojulikana
wamechoma moto ofisi ya taaluma hapo shuleni na
kuteketeza kabisa kila kitu. Hakuna kilicho okolewa. Hasara
ni kubwa sana zaidi ya mamilioni. Vyeti ya wahitimu form
four na form six, vitabu na nyaraka muhimu navyo vyote
vimeteketea
 

Attachments

  • Image055.jpg
    Image055.jpg
    131.1 KB · Views: 576
  • Image056.jpg
    Image056.jpg
    207.8 KB · Views: 540
  • Image062.jpg
    Image062.jpg
    137.5 KB · Views: 368
  • Image069.jpg
    Image069.jpg
    126.9 KB · Views: 359
  • Image072.jpg
    Image072.jpg
    194 KB · Views: 424
Duh! Nlienda kuchukua cheti changu mwaka jana mwezi wa 12 la sivyo kingeungulia uko
 
Ng'ombe wa maskininhazai. Akizaa anazaa dume afu dumelnyewe shoga!
 
Kwa ninavyofahamu kila shule huwa ina sefa kwa ajili ya vyeti vya wanafunzi. Itashangaza sana ukiniambia vyeti pia vimeungua. Ina maana huwa vinawekwa kwenye kabati?
 
Sio ile sekondari ambapo kuna vijana wanataka kuenzi mila za mababu zao za kuvaa kimila?
 
Dah! Pole yao wale ambao hawakuchukua vyeti vyao. So sad na haipendezi kabisa.
 
Sasa hivi Usishangae Mwigulu na Crew yake watataka kutengeneza Movie na kudai huo ni mkakati wa kigaidi uliokuwa unapangwa na CHADEMA!!!

Maswali
1/Hivi shule hiyo haikuwa na mlinzi?
2/Wanafunzi(Boarding) walikuwa wapi wakati tukio hili linatokea?

3/Ni watu wa namna gani wanahisiwa kuhusika na tukio hili?
 
Uenda sio wanafunzi,Uenda wahusika wamekwiba mahela ya shule so wame burn vielelezo!,Hii ndo TZ watu walishachoma mpaka Ikulu,sembuse shule Ufisadi at work
 
Hii isiende moja kwa moja kwa wanafunzi. Nakumbuka shule moja ya serikali huko Moshi ilichomwa library halafu kesi wakachomekewa wanafunzi wa kidato cha sita kwasababu tu walikuwa na mgogoro na walimu. Sasa cha kushangaza ni mlolongo wa vitu vilivyotajwa kuungua,mabaki yenyewe baada ya moto yalikuwa hayaendani na vitu walivyotaja. Wanafunzi wakakomaa waletwe askari wafanye uchunguzi lakini cha ajabu zaidi waliletwa wachungaji wawaombee wanafunzi eti waliochoma wajitokeze. Na ishu ikaisha kihuni namna hiyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii ni hujuma. Ingekuwa ofisi ya Uhasibu au Mkuu wa shule ningeanza kuamini ni kuficha ushahidi. Hili wimbi la kuchoma shule lilianza kusahaulika.
 
Back
Top Bottom