Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kuisha kwake hakutegemei tangazo. Watangaze, wasitangaze kuna siku itaisha. Watakaobaki, watabaki; watakaokuwa wamekufa, watakuwa wamekufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona we hujafa! Mzee wa makorona feki!Tumezika ndugu wetu wengi sana. Kivumishi Kielezi
Wacha weee!Kuisha kwake hakutegemei tangazo. Watangaze, wasitangaze kuna siku itaisha. Watakaobaki, watabaki; watakaokuwa wamekufa, watakuwa wamekufa.
... chanjo imesaidia sana!Dah Kwa Hiyo Sasa Hivi Social Distance Inazingatiwa Sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
watu wamechanja, hakuna tena hofu ya corona. Angeendelea kuwepo (Mungu aepushe) tungepukutika kama kuku!
... mwenyewe alitolewa mfano daaadeki! Wapambe wale walioondoka naye tuamini ni vifo vya kawaida? Ubishi wa kipumbavu alivuna alichopanda.Mbona mama zako hawajapukutika na hawajachanja?
Huu ni mwaka wa pili hakuna cha kupukutika wala nini!
Mtapukutika nyie vinyamkera mliovaa miili ili kuwahadaa watu!
Hapukutiki mtu!
Nchi za watu ndio zipi?
Haijalishi. Na tunashukuru aliwafungua watu macho wakazigomea hizo chanjo zenye matakataka.... mwenyewe alitolewa mfano daaadeki! Wapambe wale walioondoka naye tuamini ni vifo vya kawaida? Ubishi wa kipumbavu alivuna alichopanda.
... aliwafungua macho huku ikimlamba; akili matope?Haijalishi. Na tunashukuru aliwafungua watu macho wakazigomea hizo chanjo zenye matakataka.
Huku nilipo hatujambo sana. Tunawacheki tu tunasema Hiiiiiii...
This time Vinyamkera mmebuma na mipango yenu.
Hizo ngozi bandia mlizovaa mtazivua.... aliwafungua macho huku ikimlamba; akili matope?
Vipi Umechanja?... mwehu ameondoka, watu wamechanja, hakuna tena hofu ya corona. Angeendelea kuwepo (Mungu aepushe) tungepukutika kama kuku!
Tuishukuru vita ya Russia vs UkraineHii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?
Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?
Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?
Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.
Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
Achanje wapi huyo kinyamkera! Unafikiri hajui chanjo zina nini ndani? Thubutu!
Sawa, ila kama amefariki kwa kisukari basi isemwe amefariki kwa kisukari, mbona mtu akifa wakati anafanya mapenzi wanasema kafa kwa heart attack, umeshawahi kusikia wanasema kafa sababu ya utamu wa mapenzi?!Sababu wanapima coroma unapokuwa na dalili tuu, hivyo baadae magonjwa mengine yanapoanza kukutafuna, wanakuwa wanajua chanzo. Ni kama ukimwi, gonjwa mmoja litakukamata mpaka unakufa
... shukrani za dhati kwa Mh. Rais Samia. Kachanje mkuu; ni hiari na ni bure. Okoa maisha yako na ya wengine.
Kabla ya UVIKO-19 haukupoteza ndugu, jamaa na marafiki?Acha maskhara, tumepoteza watu wengi kwa corona. Ndugu, jamaa na marafiki.
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?
Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?
Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?
Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.
Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?