Igizo la Corona limeishia wapi?

Igizo la Corona limeishia wapi?

watu wamechanja, hakuna tena hofu ya corona. Angeendelea kuwepo (Mungu aepushe) tungepukutika kama kuku!

Mbona mama zako hawajapukutika na hawajachanja?

Huu ni mwaka wa pili hakuna cha kupukutika wala nini! Na tunadunda tu bila hayo machanjo yenu yenye sumu.

Mtapukutika nyie vinyamkera mliovaa miili ili kuwahadaa watu!

Hapukutiki mtu!

Peleka benki hii comment ukaombee mkopo. Utanishukuru baadae.
 
Mbona mama zako hawajapukutika na hawajachanja?

Huu ni mwaka wa pili hakuna cha kupukutika wala nini!

Mtapukutika nyie vinyamkera mliovaa miili ili kuwahadaa watu!

Hapukutiki mtu!
... mwenyewe alitolewa mfano daaadeki! Wapambe wale walioondoka naye tuamini ni vifo vya kawaida? Ubishi wa kipumbavu alivuna alichopanda.
 
... mwenyewe alitolewa mfano daaadeki! Wapambe wale walioondoka naye tuamini ni vifo vya kawaida? Ubishi wa kipumbavu alivuna alichopanda.
Haijalishi. Na tunashukuru aliwafungua watu macho wakazigomea hizo chanjo zenye matakataka.

Huku nilipo hatujambo sana. Tunawacheki tu tunasema Hiiiiiii...

This time Vinyamkera mmebuma na mipango yenu.

Na tunataka hizo ngozi bandia mlizovaa mzivue ili tujue kama kweli yaliyomo yamo.
 
Haijalishi. Na tunashukuru aliwafungua watu macho wakazigomea hizo chanjo zenye matakataka.

Huku nilipo hatujambo sana. Tunawacheki tu tunasema Hiiiiiii...

This time Vinyamkera mmebuma na mipango yenu.
... aliwafungua macho huku ikimlamba; akili matope?
 
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
Tuishukuru vita ya Russia vs Ukraine
 
Vipi Umechanja?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Achanje wapi huyo kinyamkera! Unafikiri hajui chanjo zina nini ndani? Thubutu!

Hapa anawasukumiza wengine na kuwahadaa wakati yeye kajificha uvunguni!

Porojo nyiingiiiiii.... stern measures sijui nini!

Kimyaa... kajificha anawachora wengine wanavyoingia mkenge wa kubugia machanjo.
 
Lawama zote tumpe Urusi, vita vya Urusi vimekuja kumeza huu upuuzi wa corona.
Channels zote zilizokuwa zinaripoti mambo ya corona sasa hv wanaripoti mambo ya Urusi.
 
Sababu wanapima coroma unapokuwa na dalili tuu, hivyo baadae magonjwa mengine yanapoanza kukutafuna, wanakuwa wanajua chanzo. Ni kama ukimwi, gonjwa mmoja litakukamata mpaka unakufa
Sawa, ila kama amefariki kwa kisukari basi isemwe amefariki kwa kisukari, mbona mtu akifa wakati anafanya mapenzi wanasema kafa kwa heart attack, umeshawahi kusikia wanasema kafa sababu ya utamu wa mapenzi?!
 
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?

Aisee umeniwahi nimefuta post yangu
 
Back
Top Bottom